Wale wa miaka ileeee!!

ebwana wee. miaka hiyo 90's ikikung'uta RTD masafa ya am. utamsikia shabani kisu, sarah dumba, tumbo risasi na vipindi vya kuvutia kama mazungumzo baada ya habari, michezo, majira. masafa ya sw ilinasa barabara kbs nairobi. namkumbuka mtangazaji wa mbwembwe leonard mambo mbotera akitamka KBC NYAIROBIII!!!! ebwana weee ya kale ni dhahabu.
 
Baada ya kale kawimbo/mdundo ka KBC kuelekea taarifa ya habari unasikia "Msomaji ni Leonard Mambombotela" siku nyingi sana aisee sijui huyu mzee bado yupo
 
Saa mbili kasorobo usiku na jumamosi saa nane mchana RTD ilivuma sana
 
Mkuu umenikumbusha huyo mtangazaji Lenard Mambo Mbotela alikuwa anautia kumsikiliza.KBC hasa jumamosi kwenye PATAPATA ILIKUWA NI HATARI
 
Sihuhizi ukipewa majibu negative ndiyo unatangaza na kujipongeza kwa bia, yakiwa vinginevyo unakaa kimyaaaa.
Hata kwenda kwenye vipimo mtu unaenda kimyakimya, kuchukua majibu ndo mtihani mkubwa zaidi... Ama kweli Mungu katuweza. Haka kaugonjwa amekategeshea sehemu matata sana...
 
In short jamaa walikuwa vizuri sana lakin Leo hii TBC hamna kitu serijali imehamia clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…