ms babysitter
Member
- Nov 2, 2014
- 55
- 5
Hivi na kesho wakituzingua tena kuhusu kutupangia vituo vya kazi tufanyeje? Maana unaweza kushangaa hiyo kesho wakaonekana mida ya saa kumi na kuanza kutupa story kama kawaida yao.
Mbona wenzetu wameshapewa vituo vya Kazi japo ni kweli hawajapewa pesa za kujikimu? Sasa wao wamekalia kusingizia eti hawana hela za mafuta ya gari za kutusambazia vituoni
Walimu wenzangu kesho tusikubali kudanganyika tena kama watoto wadogo we need to fight for our rights.