Wale wa Meru Arusha walimu wapya piteni hapa

ms babysitter

Member
Nov 2, 2014
55
5
Hivi na kesho wakituzingua tena kuhusu kutupangia vituo vya kazi tufanyeje? Maana unaweza kushangaa hiyo kesho wakaonekana mida ya saa kumi na kuanza kutupa story kama kawaida yao.

Mbona wenzetu wameshapewa vituo vya Kazi japo ni kweli hawajapewa pesa za kujikimu? Sasa wao wamekalia kusingizia eti hawana hela za mafuta ya gari za kutusambazia vituoni

Walimu wenzangu kesho tusikubali kudanganyika tena kama watoto wadogo we need to fight for our rights.
 
Kesho hakuna kutoka halmashauri ikifika mida ya saa 4 kama hakuna update tujikusanye pale geto ukumbuni tulianzishe
 
Hivi wale waliopangiwa masomo yasiyofundishwa sekondary kama Psychology na ICT itakuaje au huwa wanafanyaje unapelekwa wapi
 
Tuunganeni kudai haki zetuu huu ni uongo mtupu halmashauri hakuna pesa zimekwenda wapi?? Waongo tuu tumechoka na ngonjera zao!! Kila kitu hufanywa kidhararu dharu tokea tar27 April walishaona majina ya walimu bdo wanasubiri nini wakishindwa oficn waondoke zao!!
 
Back
Top Bottom