KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 21,081 Jan 6, 2024 #41 kmp said: Nakumbuka enzi za Mwl. Mwakas... alitutandika sana viboko. Pia,zile bustani za mboga kule chini karibu na mto. Pia nakumbuka kulikuwa na stream mbili ABC na LMN. Waliokuwa A na L ni science one. Click to expand... Si useme tu Mwalimu Mwakasala Mzee wa kuntu kumu
kmp said: Nakumbuka enzi za Mwl. Mwakas... alitutandika sana viboko. Pia,zile bustani za mboga kule chini karibu na mto. Pia nakumbuka kulikuwa na stream mbili ABC na LMN. Waliokuwa A na L ni science one. Click to expand... Si useme tu Mwalimu Mwakasala Mzee wa kuntu kumu
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,209 Reaction score 40,650 Jan 6, 2024 #42 Ambao hatujawahi kupiga piga umande tunasoma tu comments