Wale wa enzi zetu

Sikumbuki uzuri kama gharama zake za kuangalia ilikuwa senti hamsini (thumni )au shilingi moja aaah ilikuwa ndio fashion hiyo unapaona makka (mecca )nafsi yako ina burudika kabisa. Waqt sijui umekwenda wapi!
Ninachokumbuka yule jamaa anaeonesha hio kila aki-slide anakwambia hapo ni Mecca sijui nini....jamaa alikuwa anajuaje kuwa ikitoka hii inakuja hii?
 
Ninachokumbuka yule jamaa anaeonesha hio kila aki-slide anakwambia hapo ni Mecca sijui nini....jamaa alikuwa anajuaje kuwa ikitoka hii inakuja hii?
Wacha kabisa jamaa walikuwa wazuri wa kukariri walitukusanya sana waqt ule
 
Duuuuuuh hiyo kali mno.
1. Umewahi foleni asubuh picha unaona jioni. Duuuuuuhh sababu ilikuwa nn au walikuzd nguvu waliokuja badala yako?
2.Mtanzania anatingisha kichwa kama mzungu!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…