Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

usagara nakupenda wala sitokusahau kila nitakapokwenda daima nitakutangaza.
oyooooooooooo.
kiitikio cha school song hicho
 
Mmatumbi alikuwa saf kwenye geog2 hatar
 
Asee room ya A2 nilikuta machata yako ya Osama mtt kuna watu wapo second year saiv wakaw wananambia ulkuaga mbabe Sana ila namm nlivyokua tu roomleader nkafuta michata yako yoote na mm ndo nkawa mbabe pale so saiv madg nlowaacha wamekuta historia yang na machata yang now npo first yr chuo ila nakumbuka mpk cku za mwsho befor necta kwenye meza ya kusomea pale kla nikipiga misul miref ucku naona kuna jchata lako mzee *osama mtoto*
 
Haya bana classmate 2009. Mr. Kisinza Hostel master. Pia nakumbuka tukio la wanafunzi wa kiislam CBG kutaka kumuua mwl GS kwa ajili kusema vibaya mtume wao. Mkwizu Mkuu aliyekuwa anatumia usafiri wa baiskeli kutoka usagara mpaka sahare
Mkwizu hajawahi endesha baiskeli ya alikuwa anatumia daladala lakini sijui alikuwa anateremkia wapi akishafunnga geti ile asubuhi mpaka walimu wanabaki nje,Kisinza ndo alikuwa na baiskeli badae akahamia kwenye pikipiki ( lengo ni kufaniksha ).
 
Dah kitambo sana nimkumbuka jamaa yule Salimu hivi yupo pande za wapi?
Mkwizu alitoaga amri walimu wote wanyoe ndevu lakini pale alishindwa . Kuna yule Teacher alikuwa anapenda sana kuita watu mamba wee ,ukisikia hivyo kaa mkao.
 
Mkwizu alitoaga amri walimu wote wanyoe ndevu lakini pale alishindwa . Kuna yule Teacher alikuwa anapenda sana kuita watu mamba wee ,ukisikia hivyo kaa mkao.
Yule anaeita wanafunzi barubaru na huwa anauzaga kashata
 
Daaaah sitasahau 2013 tukiwa form five tuna wiki moja tumefika xul, aisee mkesha wa pasaka, watu tulitotoroka aisee Headmaster Saadan alipiga roll call wazee tulipigwa suspension week 3 japo ndo tulikuwa tuna wiki moja 2
 
[QUOTE="
dah hiyo ilikuwa kali
 
Ile LORI ilikua inaviziwa ikitokea geti la nyuma Kule wachelewaji wanapita shortcut...
 
Wangapi wana kumbuka lile sakata la chata hili BROFUPI. Hiyo ilikuwa 2005 hili chata lilisumbua mno kuta za uss, maana liliandikwa hadi ofisi nyeti ikiwemo displin office.
 
Wewe kweli umesoma Usagara sec.?Shule iliyosifika kwa elimu.Iliyokuwa mwanzo ikiitwa Karimjee Sec.School.Na hujui kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi.
Kweli elimu imeshuka,ikiwa shule hii iliyokuwa ikisifika,dunia nzima kwa elimu bora,inatoa wanafunzi wa namna yako.
Hii shule ilijengwa na Abdallah Karimjee,mhindi na kuitoa kwa serekali,pamoja na uwanja wa michezo,uliopo karibu na shule hiyo.
 
Reactions: Auz
Miaka kama 2004 paka 2008 mzee wangu alikuwa hapo kama mwalimu A level mwalimu kirumbuyo
 
Kwa bahat mbaya taratibu za uandish sizijui sabb sijasoma fasihi andish sijui viunganish vipelelez n.k kwahyo sio kosa langu hata ningeandika kiinglish grammar ningekosea tu na sijilaumu kwa hilo
 
Miaka kama 2004 paka 2008 mzee wangu alikuwa hapo kama mwalimu A level mwalimu kirumbuyo
Aiseee Mwl alitufundisha Physics kidogo then akatusaidia na GS kimtindo ila alikuwa na story sana,Mkwizu alikuwa hamchokozi na alikuwa anaratiba zake tofauti na walimu wote wa A/level. Msalimie sana
 
aisee nani anamjua teacher Rabiel Muhale miaka ya 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…