Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,340
YESHata wanafunzi kwenda nao kwenye michezo.
YESHata wanafunzi kwenda nao kwenye michezo.
Upareni huko mkuuNdo wapi huko MKUU?.
Combination gan na n mwaka gan???haha , mkuu A level nilichaguliwa kujiunga na hiyo S.L.P 2 Songea ila sikwenda
duh aya magari kuwa hivi ndo sheria au😳😳😳😳
PCB kitambo kidogo.Combination gan na n mwaka gan???
kwa ndangarasi st mbenduleMimi nilisona Njombe Sekondari.
Tunapaita Box 2,chama langu hilo F6_2011.haha , mkuu A level nilichaguliwa kujiunga na hiyo S.L.P 2 Songea ila sikwenda
Bweni gani mzee😀,,,Maendeleo 1 hiyo 2011_F6.P.o box 2,uboizini aisee wangoni ni wakalimu sana
Mtakua wapenzi watazamajiHeri yenu mlio fika secondary sisi tulio ishi shule ya msingi inakuwaje...???
Ujamaa 3 ,2013-2015Bweni gani mzee😀,,,Maendeleo 1 hiyo 2011_F6.
.UKO WAPI SIKU HZ MAANA KITAMBO SANA NJOSSS
Kha nawe acha uongo, utastaafu ukiwa na miaka 52 badala ya 55?Nina miaka 37 saizi ninaajira serikalini umri wangu umenda mkuu nimeajiriwa tu nikiwa na umri wa miaka 16 mwaka 1999 nina elimu na taaluma niliyopata kupitia hii kazi pia ni dereva mzuri sana niliajiriwa nikiwa mdogo sana pia nitastaafu nikiwa bado nina nguvu mana mpaka saizi nina miaka 20 kwenye chombo hiki cha utumishi bado miaka 15 tu nistaafu nitastaafu nikiwa na miaka 52 tu na nimepanga siongezi muda......na ninaomba Mungu wasiniongezee mda...mana nimechoka...
Kha nawe acha uongo, utastaafu ukiwa na miaka 52 badala ya 55?
Kagera.UKO WAPI SIKU HZ MAANA KITAMBO SANA NJOSSS