Wale tuliosima shule hizi njooni tujuane

Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,508
2,000
Nina miaka 37 saizi ninaajira serikalini umri wangu umenda mkuu nimeajiriwa tu nikiwa na umri wa miaka 16 mwaka 1999 nina elimu na taaluma niliyopata kupitia hii kazi pia ni dereva mzuri sana niliajiriwa nikiwa mdogo sana pia nitastaafu nikiwa bado nina nguvu mana mpaka saizi nina miaka 20 kwenye chombo hiki cha utumishi bado miaka 15 tu nistaafu nitastaafu nikiwa na miaka 52 tu na nimepanga siongezi muda......na ninaomba Mungu wasiniongezee mda...mana nimechoka...
Kha!,kha!,Mkuu usikate tamaa muda bado upo,nenda shule.Nakuombea kwa Mungu ufanikiwe.
 
Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
8,059
2,000
Nina miaka 37 saizi ninaajira serikalini umri wangu umenda mkuu nimeajiriwa tu nikiwa na umri wa miaka 16 mwaka 1999 nina elimu na taaluma niliyopata kupitia hii kazi pia ni dereva mzuri sana niliajiriwa nikiwa mdogo sana pia nitastaafu nikiwa bado nina nguvu mana mpaka saizi nina miaka 20 kwenye chombo hiki cha utumishi bado miaka 15 tu nistaafu nitastaafu nikiwa na miaka 52 tu na nimepanga siongezi muda......na ninaomba Mungu wasiniongezee mda...mana nimechoka...
Hongera kwa kupata kazi Serikalini.Umeona jinsi maisha yanavyojibalansi?,Yaani hujasoma Sekondari lkn una kazi,wakati kuna watu wamesoma hayo masekondari na mavyuo lkn hawana kazi.Hivyo ulipo umshukuru Mungu .
 
Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,508
2,000
Hongera kwa kupata kazi Serikalini.Umeona jinsi maisha yanavyojibalansi?,Yaani hujasoma Sekondari lkn una kazi,wakati kuna watu wamesoma hayo masekondari na mavyuo lkn hawana kazi.Hivyo ulipo umshukuru Mungu .
Amina mm shule nilikataa mwenyewe sec nilikataa nilivyoferi tuu nikatoroka home nikaenda mkoa uko ndo nikapataga ajira ya serikalini...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom