Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

mapunda b

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
418
Reaction score
19
Fanya hivyo na mjulishe na mwenzako kama uko selected itakuonesha kama bado jaza upya unfilled slots........

Have a nice go guys...
 
kuna dogo hapa nimemuangalizia amewekewa mfano NIT wamemuwekea capacity 34 kwenye kozi yake ,sasa cjajua wanamaana gan ,na kwann capacity zngne ni 0 and why hakuna option ya kufanya reapplication na kwann hawajatoa deadlne ya 3rd reapplictn??
 
Hakuna kilichobadika kwenye profile yangu mbn ..vp mbn hatuelewi wengne
 
kuna dogo hapa nimemuangalizia amewekewa mfano NIT wamemuwekea capacity 34 kwenye kozi yake ,sasa cjajua wanamaana gan ,na kwann capacity zngne ni 0 and why hakuna option ya kufanya reapplication na kwann hawajatoa deadlne ya 3rd reapplictn??

iyo 34 inamaana bado ao watu ili kijae.....kwa 0 inamaana kimesha jaa so aendelee kusubir bado wanaselect na kufanya updates.....haimaanishi kwamba yeye hatachaguliwa...lets wait

na 3rd round bado haijawa officially opened hadi wamalize selection process na kuwe na empty slots zilizobaki.....
 
Na je ukikuta kuna choices zingine za vyuo priority imebaki negative something maana yake ni nini?
 
Kwa maana hyo kigezo cha kufanya third ni 0 capacity?

hapana haimaanishi ivyo...yan 0 ni kwamba kimejaa akiwemo na yeye ndani yan wamefikia maxmum capacity..but anaweza kua selected au lah!
lakin lets wait na tuendelee kujuzana hapa..
 
sio kwa wote,

attachment.php
 
Kuna wengine tuna mabadiliko kama unavyo on a.
 
Attachments

  • 1444120834938.jpg
    1444120834938.jpg
    25.7 KB · Views: 592
Yap na kama ni negative inamaanisha walioomba wamezid capacity mfano walioomba ni 40 bt capacity ni 31 na yy akiwemo ikiwa ni zero t mean wamefit ile capacity na kama kna 34 mean capacit ya chuo bado haijajaa.cha msing lets wait
 
kuna mabadiliko haya kama bado hauko selected utaona........
Application for Second Round of Selections
Welcome Again to the Central Admission System. You are here because you were not successful in the First round of selections.You are now given the opportunity to select UP TO FIVE (5) PROGRAMMES among those that are not yet filled to capacity.
You are advised to wisely choose programmes for this 2nd round of selections. Selections will be done on merit basis (i.e. higher performers will be given opportunity first).Selection criteria and admission requirements still apply.
The DEADLINE for 2nd Round Applications is 30th September 2015

NA KAMA UKO SELECTED UTAONA IVI INGAWA NAISI KUNA SOME ERRORS sehem ya 2nd imewekwa 1s na sehem ya 3rd imewekwa 2nd....

CAS Opened for 2nd Round Selection
You reached this page because you have been provisionally selected into one of the Programme Choices you made BUT results are not yet official pending approval of respective Institution on your suitability.The Central Admission System is now open for 2nd Round Selection for those who missed placement in any programme and those who missed the initial application deadline. Official selection results will be announced as soon as they are ready. Thank you.

NADHANI MNANIELEWA GUYZ.....
 
duh kama ni hivyo dogo kakosa, hopefully upo wrong.
 
Yap na kama ni negative inamaanisha walioomba wamezid capacity mfano walioomba ni 40 bt capacity ni 31 na yy akiwemo ikiwa ni zero t mean wamefit ile capacity na kama kna 34 mean capacit ya chuo bado haijajaa.cha msing lets wait

ooh haya duh,it is complicated kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom