Wale mnaopenda Kukurupuka ‘ Kianaharakati ‘ Mitandaoni na Kutetea ‘ msivyovijua ‘ mbona baada ya ukweli mmepotea ghafla?

Hivi mpaka sasa kosa lake ni lipi??
spika kaongea moja tu la kuomba ulinzi . hilo ndio spika alilotwambia anaongea vitu vya hovyo hovyo? Bado sijaona point. kuonyesha kwamba hana kosa masele hajakiri kosa. Ila kaomba radhi ile tunaita funika kombe mwanaharamu apite.

Kudhihilisha hilo kasema hivi kwa YALE WANAYODAI makosa means mpaka muda anaomba msamaha bado hajatambua kosa lake. na ndio maana spika kaishia kumsamehe.

Kama unatumia akili ya ziada isingetokea kamati isimkute na hatia huku tuhuma kazitoa mkuu wa mhimili. Na ndio maana inafaa sana tuhuma asiztoe spika maana mwisho wa siku yeye ndio mkuu wa kamati! Ungekuwa umepeleka kesi hiyo mtu kama ww wangeishia kusema hatujaona kosa. Unategemea kweli kamati imtose ndungai na kumwinua masele?? Tumia jicho la tatu kama ninavyokuamini! vinginevyo mh!!!??
 
hivi mpaka sasa kosa lake ni lipi??
spika kaongea moja tu la kuomba ulinzi . hilo ndio spika alilotwambia anaongea vitu vya hovyo hovyo? bado sijaona point. kuonyesha kwamba hana kosa masele hajakiri kosa. ila kaomba radhi ile tunaita funika kombe mwanaharamu apite.

kudhihilisha hilo kasema hivi kwa YALE WANAYODAI makosa means mpaka muda anaomba msamaha bado hajatambua kosa lake. na ndio maana spika kaishia kumsamehe.

kama unatumia akili ya ziada isingetokea kamati isimkute na hatia huku tuhuma kazitoa mkuu wa mhimili. na ndio maana inafaa sana tuhuma asiztoe spika maana mwisho wa siku yeye ndio mkuu wa kamati! ungekua umepeleka kesi hiyo mtu kama ww wangeishia kusema hatujaona kosa. unategemea kweli kamati imtose ndungai na kumwinua masele?? tumia jicho la tatu kama ninavyokuamini! vinginevyo mh!!!??

Kama huwezi kuona we ni zero brain unaomba vitu kwa mtu asiyekuwa mavyo tena kwa kushinikiza unaenda huku na kule
Wew zombii nini
 
Duh....Mkuu kwahiyo na Mimi leo ni Popoma / Mbumbumbu / Pumbavu kama ' ulivyonibatiza ' kwa Upako wa Moto na Povu jingi kama siyo kali hapo juu?
Mkuu siku hizi hoja zakoo zimekuwa Rubbish!! Tuliza kichwa kwa muda! Jifunze kusikiliza zaidi kuliko kuongea! Usikurupukie kila linalopita mbele yako,maana mengine yaweza kuwa mtego kwako to hunt down your intelligent! Stay humble
 
Nakumbuka Wiki iliyopita baada ya hili ‘ Sakata ‘ Kuibuka na Kuanza kusambaa sehemu mbalimbali na hasa hasa humu ‘ Mitandaoni ‘ kuhusu Mbunge Masele ya Spika wa Bunge Ndugai nilichangia katika Uzi wa Mtu hapa na ‘ nikatahadharisha ‘ kuwa Watanzania tuache ‘ Kukurupuka ‘ na kusukumwa na Hisia za ‘ Kianaharakati ‘ kwani Siku ukweli ukija Kutolewa Kwetu wengi Wetu tuliokuwa ‘ tukilaumu ‘ tu tutatafuta wapi tufiche Sura zetu kwa Aibu.

Baada ya Mbunge Masele ‘ Kuwaaminisha ‘ Watanzania wana Mitandao wa ‘ Kukurupuka ‘ kuwa Yeye hakuwa na Kosa huko katika Bunge la PAP ambapo Yeye ni Makamu wake / wao hatimaye jana ukweli kamili umejidhihiri na kuwekwa hadharani juu ya ‘ Mapungufu / Makandokando ‘ yake na kama kawaida wale waliokuwa ‘ wakimtetea ‘ Kutwa wamepotea ghafla wakati mwanzoni ndiyo walikuwa wakifululiza Kumtetea na Kudhania kuwa ameonewa au anaonewa.

Hivi Mbunge Masele Yeye ni nani mpaka alazimishe na hadi Kushinikiza kwa Watu wa Ikulu, Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi ‘ Nyeti ‘ nchini kuwa ni lazima apatiwe Walinzi kutoka Usalama wa Taifa wa Kumlinda? Yeye ni nani hadi atake Kupewa Nyumba Kubwa ( Mansion ) na Gari za Kifahari na hadi awe na ‘ Msafara ‘ wake? Huu ‘ Ukubwa ‘ aliokuwa akiutaka Mbunge Masele unatokana na nini labda?

Bado nahoji wale wana ‘ Mtandao ‘ mliokuwa mkimtetea mpo wapi sasa? Mbona mmenyamaza?

Nawasilisha.
Kwani masele alikuwa nalalamikiwa na nani vile?
Au munda wa tume!!?
 
Mkuu siku hizi hoja zakoo zimekuwa Rubbish!! Tuliza kichwa kwa muda! Jifunze kusikiliza zaidi kuliko kuongea! Usikurupukie kila linalopita mbele yako,maana mengine yaweza kuwa mtego kwako to hunt down your intelligent! Stay humble

Sio bure naona unateseka sana si ujibu hoja
 
Na ninavyojua huwezi Kusoma au hata Kukubaliwa tu kusoma SAUT Mwanza kama Wewe siyo ' Genius ' na ' Intellectual ' wa Kutukuka. IQ yangu ya Kuzaliwa pamoja na ile niliyoongezewa na Wahadhiri wangu ' Geniuses ' watupu wa SAUT akina Padre Charles Kitima, Baba Askofu na Mhadhiri wangu Kipenzi kabisa Dkt. Bernadin Mfumbusa, Dkt. Aidan Msafiri, Dkt. Dietrick Kaijanangoma ambaye sasa ndiyo Mkuu wa SJMC ( UDSM ), Dkt. Mataba ( kama ameshamaliza PhD yake ), Dkt. Robert Mkosamali, Dkt. Barrack Otieno, Dkt. Ilkuyoni, Dkt. Xavier Ng'atigwa na wengineo wengi imenifanya GENTAMYCINE niwe na hiki Kiburi, Jeuri na Mtamu kabisa ' Upstairs ' Kwangu.

Umeniangusha sana kwa thread hii, swali dogo tu je Masele ndiye alikuwa anamtuhumu mkuu wake au ni nini? Naomba kama uko na wasaha sikiliza kwa makini kama wewe ni mtu makini kauli aliyotoa spika utagundua kitu
 
ndo bibi zenu waki Tutsi wanavowadanganya. .....wa hutu waliwakata matako sisi tutayafukunyua kabisa nyie leten hivo vitako vyenu ambavo havina nyama hapa.
Wewe emmanuel mruma acha ufala, au wewe ndio mleta mada nini? Mbona unampa cheo ambacho hana. Huyo mleta mada sio mtutsi. Hakunaga watutsi vilaza kama mleta mada.

Mleta mada ni mjita/ msimbiti/ msweta kutoka Bunda vijijini.

How many times do u need to be told about this?
 
Hayo maigizo siyo mageni. Hongereni kwa maigizo yasiyo na tija na nchi hii.Hongereni pia kwa mtu wenu kuambatana na mkalimani africa ya kusini.
Ni vibaya kuwa na mkarimani?

Ndio maana tunataka miataala ya elimu ibadirishwe ili msiendelee kulishwa ujinga tena.
 
sawa mkuu sikulijua hiloo.....
Wewe emmanuel mruma acha ufala, au wewe ndio mleta mada nini? Mbona unampa cheo ambacho hana. Huyo mleta mada sio mtutsi. Hakunaga watutsi vilaza kama mleta mada.

Mleta mada ni mjita/ msimbiti/ msweta kutoka Bunda vijijini.

How many times do u need to be told about this?
 
Bado ya CAG ni kiporo, taarifa yake nayo kiporo!! Pia anakaguliwa mahesabu yake!!

Sasa mara PAP kijana nyota inaaanza kung’aa kutumbua kinarudhiwa michanga!!

Mara waliohusika na sakata la korosho wawajibike kabla hawajawajibishwa!!

Pia wajurugenzi ni makada wasisimamie chaguzi!!

Mzee makamba naye anadai uhuru wa maoni kiaina!!!

Mara wengine hawana mikia!!

Huwrzi kuwa mkrusto kushinda warumi!!

Mara tuachane na kanuni na taratibu tufuate utamaduni wetu!!!

Kuna kaupepo kanaongezeka kasi poole pooleeee!!!!

Yajayo yanafurahisha!!
Kama huo ndio upepo, basi wewe ni mchanga sana kwenye siasa za nchi hii
 
Ni vibaya kuwa na mkarimani?

Ndio maana tunataka miataala ya elimu ibadirishwe ili msiendelee kulishwa ujinga tena.
Mkuu kushabikia ujinga wa elimu hasa tatizo letu la lugha kwenye ulimwengu huu wa utandawazi ni kujivua nguo ili uingiliwe na mataahira "mambumbumbu na washamba". Lugha ndiyo mambo yote. Ile mikataba ya hovyo hovyo sababu mojawapo ni elimu yetu duni na hususan lugha.
 
Nakumbuka Wiki iliyopita baada ya hili ‘ Sakata ‘ Kuibuka na Kuanza kusambaa sehemu mbalimbali na hasa hasa humu ‘ Mitandaoni ‘ kuhusu Mbunge Masele ya Spika wa Bunge Ndugai nilichangia katika Uzi wa Mtu hapa na ‘ nikatahadharisha ‘ kuwa Watanzania tuache ‘ Kukurupuka ‘ na kusukumwa na Hisia za ‘ Kianaharakati ‘ kwani Siku ukweli ukija Kutolewa Kwetu wengi Wetu tuliokuwa ‘ tukilaumu ‘ tu tutatafuta wapi tufiche Sura zetu kwa Aibu.

Baada ya Mbunge Masele ‘ Kuwaaminisha ‘ Watanzania wana Mitandao wa ‘ Kukurupuka ‘ kuwa Yeye hakuwa na Kosa huko katika Bunge la PAP ambapo Yeye ni Makamu wake / wao hatimaye jana ukweli kamili umejidhihiri na kuwekwa hadharani juu ya ‘ Mapungufu / Makandokando ‘ yake na kama kawaida wale waliokuwa ‘ wakimtetea ‘ Kutwa wamepotea ghafla wakati mwanzoni ndiyo walikuwa wakifululiza Kumtetea na Kudhania kuwa ameonewa au anaonewa.

Hivi Mbunge Masele Yeye ni nani mpaka alazimishe na hadi Kushinikiza kwa Watu wa Ikulu, Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi ‘ Nyeti ‘ nchini kuwa ni lazima apatiwe Walinzi kutoka Usalama wa Taifa wa Kumlinda? Yeye ni nani hadi atake Kupewa Nyumba Kubwa ( Mansion ) na Gari za Kifahari na hadi awe na ‘ Msafara ‘ wake? Huu ‘ Ukubwa ‘ aliokuwa akiutaka Mbunge Masele unatokana na nini labda?

Bado nahoji wale wana ‘ Mtandao ‘ mliokuwa mkimtetea mpo wapi sasa? Mbona mmenyamaza?

Nawasilisha.
Hao ni wapuuzi , wa kupuuzwa ,tuwapuuze, , nimewapuuza
 
Kwani anafanya kipi cha hatari kwenye majukumu yake mpaka apewe ulinzi?
Kwasababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,

1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.

2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?

3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo.

Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.
 
Duh....Mkuu kwahiyo na Mimi leo ni Popoma / Mbumbumbu / Pumbavu kama ' ulivyonibatiza ' kwa Upako wa Moto na Povu jingi kama siyo kali hapo juu?
Ila kweli Gentymcin leo umechemka. Mpaka sasa hivi sijaona makosa ya Masele. Kuomba gari, ulinzi na nyumba halijawahi kuwa kosa hata siku moja. Ni either kumwambia mwombaji haiwezekani au inawezekana kwa taratibu zao za kifisi na si kuja kutumbia sisi kadamnasi.
 
Back
Top Bottom