Wale mnaopenda Kukurupuka ‘ Kianaharakati ‘ Mitandaoni na Kutetea ‘ msivyovijua ‘ mbona baada ya ukweli mmepotea ghafla?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,564
Nakumbuka Wiki iliyopita baada ya hili ‘ Sakata ‘ Kuibuka na Kuanza kusambaa sehemu mbalimbali na hasa hasa humu ‘ Mitandaoni ‘ kuhusu Mbunge Masele ya Spika wa Bunge Ndugai nilichangia katika Uzi wa Mtu hapa na ‘ nikatahadharisha ‘ kuwa Watanzania tuache ‘ Kukurupuka ‘ na kusukumwa na Hisia za ‘ Kianaharakati ‘ kwani Siku ukweli ukija Kutolewa Kwetu wengi Wetu tuliokuwa ‘ tukilaumu ‘ tu tutatafuta wapi tufiche Sura zetu kwa Aibu.

Baada ya Mbunge Masele ‘ Kuwaaminisha ‘ Watanzania wana Mitandao wa ‘ Kukurupuka ‘ kuwa Yeye hakuwa na Kosa huko katika Bunge la PAP ambapo Yeye ni Makamu wake / wao hatimaye jana ukweli kamili umejidhihiri na kuwekwa hadharani juu ya ‘ Mapungufu / Makandokando ‘ yake na kama kawaida wale waliokuwa ‘ wakimtetea ‘ Kutwa wamepotea ghafla wakati mwanzoni ndiyo walikuwa wakifululiza Kumtetea na Kudhania kuwa ameonewa au anaonewa.

Hivi Mbunge Masele Yeye ni nani mpaka alazimishe na hadi Kushinikiza kwa Watu wa Ikulu, Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi ‘ Nyeti ‘ nchini kuwa ni lazima apatiwe Walinzi kutoka Usalama wa Taifa wa Kumlinda? Yeye ni nani hadi atake Kupewa Nyumba Kubwa ( Mansion ) na Gari za Kifahari na hadi awe na ‘ Msafara ‘ wake? Huu ‘ Ukubwa ‘ aliokuwa akiutaka Mbunge Masele unatokana na nini labda?

Bado nahoji wale wana ‘ Mtandao ‘ mliokuwa mkimtetea mpo wapi sasa? Mbona mmenyamaza?

Nawasilisha.
 
Kwasababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,

1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.

2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?

3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo.

Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.
 
Hili kosa alimkosea Spika au alikiuka maadili ya kazi yake.?

Kama ni maadili ya kazi yake kwa nini asamehewe na Ndugai badala ya Bunge?

Je, hayo mahtaji aliyokuwa anahtaji (Kama ni kweli, maana kumuamini Ndugai kunahtaji uwe nusu Kaputi) ndiyo yanayoitwa kuchonganisha mihimili?

Yaani Leo askari wa Bunge akidai apatiwe nyumba anakuwa amechonganisha mihimili?
 
Kwa sababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,
1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.
2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?
3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo. Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.

Duh....Mkuu kwahiyo na Mimi leo ni Popoma / Mbumbumbu / Pumbavu kama ' ulivyonibatiza ' kwa Upako wa Moto na Povu jingi kama siyo kali hapo juu?
 
Labda kutokana na nafasi yake ya umakamu bunge la pap ndio anadai hizo huduma na vitu. Ila hii linashangaza wakongwe vijana wa siku hizi akili yenu imejaa ubinafsi sana.

Hayo mapinduzi ya viwanda sijui nani ataleta kwa viongozi design hii. Hayo madai yake ni mbwembwe na gharama za bure kwa umma. Hakuna ulazima wala tija.
 
baada ya kuingia Rais Magufuli madarakani chama fulani cha siasa za uanaharakati bongo kimejikita kikianzisha utaratibu mpya wa kutetea kila uovu na kwa Masele imethibitika hivyo
Kama wale wabunge wore mle ndani waliokuwa wanagonga meza kushangilia ni CHADEMA basi hakuna shida na huenda wao ndio hutajwa kuwa waliosema ndiyo wameshinda! Hongera CHADEMA kwa kuwa na wabunge wengi ndani ya ukumbi Wa bunge!
 
Bado ya CAG ni kiporo, taarifa yake nayo kiporo!! Pia anakaguliwa mahesabu yake!!

Sasa mara PAP kijana nyota inaaanza kung’aa kutumbua kinarudhiwa michanga!!

Mara waliohusika na sakata la korosho wawajibike kabla hawajawajibishwa!!

Pia wajurugenzi ni makada wasisimamie chaguzi!!

Mzee makamba naye anadai uhuru wa maoni kiaina!!!

Mara wengine hawana mikia!!

Huwrzi kuwa mkrusto kushinda warumi!!

Mara tuachane na kanuni na taratibu tufuate utamaduni wetu!!!

Kuna kaupepo kanaongezeka kasi poole pooleeee!!!!

Yajayo yanafurahisha!!
 
uyu Jamaa ni jinga sanaa yani sometimes uwa natamani tuwafukuze wanyarwanda wote humu bongo maana hawa jamaa wanafikiria matakoni aisee ila yy apo anajiona genius hahahahaha kweli genocide sio mchezo
Naunga mkono hoja wakimbizi wote warudi kwao.
Watuachie nchi yetu.
 
Naunga mkono hoja wakimbizi wote warudi kwao.
Watuachie nchi yetu.

Its too late kwani tayari tupo hadi ' Jikoni ' Kwenu na tutahakikisha East Africa nzima inakuwa Himaya ya Tutsi na Hima soon.
 
Tatizo la kusoma kwa kuunga unga chuo cha kata SAUT yanaanza kujidhihirisha



Na ninavyojua huwezi Kusoma au hata Kukubaliwa tu kusoma SAUT Mwanza kama Wewe siyo ' Genius ' na ' Intellectual ' wa Kutukuka. IQ yangu ya Kuzaliwa pamoja na ile niliyoongezewa na Wahadhiri wangu ' Geniuses ' watupu wa SAUT akina Padre Charles Kitima, Baba Askofu na Mhadhiri wangu Kipenzi kabisa Dkt. Bernadin Mfumbusa, Dkt. Aidan Msafiri, Dkt. Dietrick Kaijanangoma ambaye sasa ndiyo Mkuu wa SJMC ( UDSM ), Dkt. Mataba ( kama ameshamaliza PhD yake ), Dkt. Robert Mkosamali, Dkt. Barrack Otieno, Dkt. Ilkuyoni, Dkt. Xavier Ng'atigwa na wengineo wengi imenifanya GENTAMYCINE niwe na hiki Kiburi, Jeuri na Mtamu kabisa ' Upstairs ' Kwangu.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom