Wale mnaopenda Kukurupuka ‘ Kianaharakati ‘ Mitandaoni na Kutetea ‘ msivyovijua ‘ mbona baada ya ukweli mmepotea ghafla?

Kwa sababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,
1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.
2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?
3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo. Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.

Kwa hiyo ukienda shuleni ukikuta wenzako wana laptop na wew utaenda kumngangania mdingi akupe hatakama ni mchimba chumvi mbona vituko hivyo jamani
 
Ushamba changanya ununda wivu na masengenyo ndivyo unaweza kuita kitendo kilichofanywa na jobuu.

Unamkatisha ghafla na kumwita kiongozi nyumbani kwa mambo yasiyo na dharura kwanini? Eti kisa kaomba bodyguard au nyumba yenye ulinzi nk. Katikati ya mambo mazito unamwita mtu nyumbani kisa maneno?

Huo ni wivu mkuu mtu hujui kingreza huwezi kwenda bunge la Afrika utaishia ugogoni,tuu ombaomba akipata cheo...majinga yanashedadia bila kutafakari labda akili haziwatoshi kutafakari pengine wakae kimya vibendera fata upepo
 
Na ninavyojua huwezi Kusoma au hata Kukubaliwa tu kusoma SAUT Mwanza kama Wewe siyo ' Genius ' na ' Intellectual ' wa Kutukuka. IQ yangu ya Kuzaliwa pamoja na ile niliyoongezewa na Wahadhiri wangu ' Geniuses ' watupu wa SAUT akina Padre Charles Kitima, Baba Askofu na Mhadhiri wangu Kipenzi kabisa Dkt. Bernadin Mfumbusa, Dkt. Aidan Msafiri, Dkt. Dietrick Kaijanangoma ambaye sasa ndiyo Mkuu wa SJMC ( UDSM ), Dkt. Mataba ( kama ameshamaliza PhD yake ), Dkt. Robert Mkosamali, Dkt. Barrack Otieno, Dkt. Ilkuyoni, Dkt. Xavier Ng'atigwa na wengineo wengi imenifanya GENTAMYCINE niwe na hiki Kiburi, Jeuri na Mtamu kabisa ' Upstairs ' Kwangu.
Nani asiyejua wanafunzi wanaoenda SAUT ni wale ambao alama zao na IQ zao haziruhusu kusoma vyuo bora hivyo kuishia kupooza machungu angalau na mimi nimesoma chuo kikuu kwa kwenda kwa vilaza SAUT malimbe
 
' IQ's ' za Watu waliosoma SAUT unaweza ukatumia muda wa Miaka 10 kuzipata katika Vyuo vingine hasa UDSM ambapo ' Mapopoma Wanataaluma ' wengi sana wa Siku hizi mnatoka / mnatokea hapo.
 
Kwa sababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,
1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.
2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?
3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo. Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.

1. Hata kama wanapewa, kwani kinachotokea kwenye nchi nyingine lazima kifanyike kwetu? Kila nchi na utaratibu wake.

2. Bashite kupewa ulinzi ni jambo la kushangaza. Sasa unataka jambo moja la kushangaza likitokea lihalalishe jingine?

3. Hana haki kwa sababu hakuna sheria inayosema apewe ulinzi
 
Wangefanya amedment kwenye katiba yao ndo aingize kipengele hicho
 
Kwa sababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,
1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.
2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?
3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo. Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.
Kama hujui mkuu wa mkoa kikatiba analindwa na Bunduki 7 kikatiba, wewe utakuwa na matatizo
 
Back
Top Bottom