Wale mnaopenda Kukurupuka ‘ Kianaharakati ‘ Mitandaoni na Kutetea ‘ msivyovijua ‘ mbona baada ya ukweli mmepotea ghafla?

Unaweza soma shule na ma PHD kibao bila busara wala hekima kama wewe Gyntamycine.
Huna busara mtupu kabisa, kuna mahali unaegemea.
Kuna kitu unatafuta kazana utapata!!
 
Unaweza soma shule na ma PHD kibao bila busara wala hekima kama wewe Gyentamicine.
Huna busara mtupu kabisa, kuna mahali unaegemea.
Kuna kitu unatafuta kazana utapata!!
 
Nakumbuka Wiki iliyopita baada ya hili ‘ Sakata ‘ Kuibuka na Kuanza kusambaa sehemu mbalimbali na hasa hasa humu ‘ Mitandaoni ‘ kuhusu Mbunge Masele ya Spika wa Bunge Ndugai nilichangia katika Uzi wa Mtu hapa na ‘ nikatahadharisha ‘ kuwa Watanzania tuache ‘ Kukurupuka ‘ na kusukumwa na Hisia za ‘ Kianaharakati ‘ kwani Siku ukweli ukija Kutolewa Kwetu wengi Wetu tuliokuwa ‘ tukilaumu ‘ tu tutatafuta wapi tufiche Sura zetu kwa Aibu.

Baada ya Mbunge Masele ‘ Kuwaaminisha ‘ Watanzania wana Mitandao wa ‘ Kukurupuka ‘ kuwa Yeye hakuwa na Kosa huko katika Bunge la PAP ambapo Yeye ni Makamu wake / wao hatimaye jana ukweli kamili umejidhihiri na kuwekwa hadharani juu ya ‘ Mapungufu / Makandokando ‘ yake na kama kawaida wale waliokuwa ‘ wakimtetea ‘ Kutwa wamepotea ghafla wakati mwanzoni ndiyo walikuwa wakifululiza Kumtetea na Kudhania kuwa ameonewa au anaonewa.

Hivi Mbunge Masele Yeye ni nani mpaka alazimishe na hadi Kushinikiza kwa Watu wa Ikulu, Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi ‘ Nyeti ‘ nchini kuwa ni lazima apatiwe Walinzi kutoka Usalama wa Taifa wa Kumlinda? Yeye ni nani hadi atake Kupewa Nyumba Kubwa ( Mansion ) na Gari za Kifahari na hadi awe na ‘ Msafara ‘ wake? Huu ‘ Ukubwa ‘ aliokuwa akiutaka Mbunge Masele unatokana na nini labda?

Bado nahoji wale wana ‘ Mtandao ‘ mliokuwa mkimtetea mpo wapi sasa? Mbona mmenyamaza?

Nawasilisha.

Duh

kuna mahali unafeli mkuu

siamini kama umemwamini Ndugai.period
 
ko mtu akipata division 1 ndo genius? acha ushamba yawezekana aliyepata 3 akawa vizuri kuliko huyo wa 1 ya kwny karatasi,mwisho unge judge products za SAUT na sio anayekwnd ana ngp
Haipo hata siku moja upate 3 useme unamzidi aliyepata 1?? Ndalichako atakuwa ni mjinga kupanga madaraja ya ufaulu.
 
Habari zilizo nifikia.hivi punde zinasema hujasoma SAUT. Ulisoma.BUTIMBA TTC Diploma ya Ualimu. In addition to that ulipata nafasi ya kusoma Diploma hapo Butimba Ttc kwa kuwa tayari ulikuwa mwalimu wa shule ya msingi huko Musoma vijijini. Na hiyo Grade 3A ya ualimu uliipata Tarime Ttc.

Kama nasema uongo hebu tuonyeshe cheti chako cha kidato cha sita tuone.hiyo division one.
Ambatanisha na cheti ulicho tunukiwa @ St. Augustine
Umemnyosha huyu popoma anajidai ana inferiority complex inajimanifest iterms of superiority features.
 
baada ya kuingia Rais Magufuli madarakani chama fulani cha siasa za uanaharakati bongo kimejikita kikianzisha utaratibu mpya wa kutetea kila uovu na kwa Masele imethibitika hivyo
Hivi Masele alishtakiwa na nani na ni nani aliyesema asamehewe?
Hivi ukishakuwa kada wa ccm unapoteza kumbukumbu na uwezo wa kuona na kufikiri?
Kwanini matumbo yanawapelekesha hivi?
 
Mkuu si alikiri mwenyewe na akaomba msamaha kwani kunahitajika rocket science kujua jamaa amejua makosa yake na kamti ya nidham kinga na madaraka ya bunge ndo iliyomtia hatian sasa unataka nini tena awe ni chuki tu kwa ndugai zisizo na hoja
 
Mkuu ulikisoma alichokiandika Masele katika utetezi wake na kuzingatia mantiki yake au umesikiliza maneno ya mtaani? Tafadhali soma maneno ya utetezi na uzingatie uhalisia kisha usikie kwanini aliomba msamaha...
Tuna tatizo kubwa mahala fulani...
 
Ukisoma maandishi ya mtu na mtu akasimulia mwenyewe na kuomba tadhi wew unamkingia kifua kwa misingi ipi au wew ni moiga ramli
 
Nakumbuka Wiki iliyopita baada ya hili ‘ Sakata ‘ Kuibuka na Kuanza kusambaa sehemu mbalimbali na hasa hasa humu ‘ Mitandaoni ‘ kuhusu Mbunge Masele ya Spika wa Bunge Ndugai nilichangia katika Uzi wa Mtu hapa na ‘ nikatahadharisha ‘ kuwa Watanzania tuache ‘ Kukurupuka ‘ na kusukumwa na Hisia za ‘ Kianaharakati ‘ kwani Siku ukweli ukija Kutolewa Kwetu wengi Wetu tuliokuwa ‘ tukilaumu ‘ tu tutatafuta wapi tufiche Sura zetu kwa Aibu.

Baada ya Mbunge Masele ‘ Kuwaaminisha ‘ Watanzania wana Mitandao wa ‘ Kukurupuka ‘ kuwa Yeye hakuwa na Kosa huko katika Bunge la PAP ambapo Yeye ni Makamu wake / wao hatimaye jana ukweli kamili umejidhihiri na kuwekwa hadharani juu ya ‘ Mapungufu / Makandokando ‘ yake na kama kawaida wale waliokuwa ‘ wakimtetea ‘ Kutwa wamepotea ghafla wakati mwanzoni ndiyo walikuwa wakifululiza Kumtetea na Kudhania kuwa ameonewa au anaonewa.

Hivi Mbunge Masele Yeye ni nani mpaka alazimishe na hadi Kushinikiza kwa Watu wa Ikulu, Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi ‘ Nyeti ‘ nchini kuwa ni lazima apatiwe Walinzi kutoka Usalama wa Taifa wa Kumlinda? Yeye ni nani hadi atake Kupewa Nyumba Kubwa ( Mansion ) na Gari za Kifahari na hadi awe na ‘ Msafara ‘ wake? Huu ‘ Ukubwa ‘ aliokuwa akiutaka Mbunge Masele unatokana na nini labda?

Bado nahoji wale wana ‘ Mtandao ‘ mliokuwa mkimtetea mpo wapi sasa? Mbona mmenyamaza?

Nawasilisha.
Mkuu Masele wala alikuwa hatetewi
Watu wamemchoka Ayubu Ndugai
Ndio Maana waka side na Masele automatic
 
Ukisoma maandishi ya mtu na mtu akasimulia mwenyewe na kuomba tadhi wew unamkingia kifua kwa misingi ipi au wew ni moiga ramli
Mkuu punguza jazba na mhemko na uandike kwa kituo... huo mwandiko wako unaashiria kitu fulani kama hutetemeki inawezekana kuna stress kubwa moyoni. Kwa kifupi issue ya Mase Andunje alichemka...
USHAURI: MCHELEA MWANA KULIA...
 
Nakumbuka Wiki iliyopita baada ya hili ‘ Sakata ‘ Kuibuka na Kuanza kusambaa sehemu mbalimbali na hasa hasa humu ‘ Mitandaoni ‘ kuhusu Mbunge Masele ya Spika wa Bunge Ndugai nilichangia katika Uzi wa Mtu hapa na ‘ nikatahadharisha ‘ kuwa Watanzania tuache ‘ Kukurupuka ‘ na kusukumwa na Hisia za ‘ Kianaharakati ‘ kwani Siku ukweli ukija Kutolewa Kwetu wengi Wetu tuliokuwa ‘ tukilaumu ‘ tu tutatafuta wapi tufiche Sura zetu kwa Aibu.

Baada ya Mbunge Masele ‘ Kuwaaminisha ‘ Watanzania wana Mitandao wa ‘ Kukurupuka ‘ kuwa Yeye hakuwa na Kosa huko katika Bunge la PAP ambapo Yeye ni Makamu wake / wao hatimaye jana ukweli kamili umejidhihiri na kuwekwa hadharani juu ya ‘ Mapungufu / Makandokando ‘ yake na kama kawaida wale waliokuwa ‘ wakimtetea ‘ Kutwa wamepotea ghafla wakati mwanzoni ndiyo walikuwa wakifululiza Kumtetea na Kudhania kuwa ameonewa au anaonewa.

Hivi Mbunge Masele Yeye ni nani mpaka alazimishe na hadi Kushinikiza kwa Watu wa Ikulu, Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi ‘ Nyeti ‘ nchini kuwa ni lazima apatiwe Walinzi kutoka Usalama wa Taifa wa Kumlinda? Yeye ni nani hadi atake Kupewa Nyumba Kubwa ( Mansion ) na Gari za Kifahari na hadi awe na ‘ Msafara ‘ wake? Huu ‘ Ukubwa ‘ aliokuwa akiutaka Mbunge Masele unatokana na nini labda?

Bado nahoji wale wana ‘ Mtandao ‘ mliokuwa mkimtetea mpo wapi sasa? Mbona mmenyamaza?

Nawasilisha.

una kumbuka na wewe mmoja wapo jana kwenye uzi wako wa self ya jk na lama posa.kweli nyani aoni la mwanzake
 
Yule Masele aliyekuwa South Africa ndiye aliyesema ukweli, huyu aliyefika bungeni na kuhojiwa sio Masele yule aliyetokea South Africa. Nani asiyewajua CCM Kwa kufanya Manipulation. Masele alitishwa na ili abakie kwenye nafasi yake akawaambiwa aombe msamaha, afunike kombe mwanaharamu apite. Ila sisi werevu tulishajua kitu gani kinajiri.Huwezi kuwa ndani ya CCM ukabaki huru.
 
Kwasababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,

1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.

2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?

3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo.

Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.
Mkuu MAHANJU msamehe huyu MKIMBIZI sio kosa lake !😀😆
 
Back
Top Bottom