PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,185
Reaction score
12,332

Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke.

Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake tena mjamzito apigwe risasi hadi kufa, na CNN imetoa ushahidi kabisa lakini utashangaa wapo kimya.

Je ukimya nj kwa sababu ukatili umefanywa na mwanamke mwenzao au nao ni vyawa?
 
Dkt. Gwajima D

Nini naoni yako katika hili, tukiweka mbali siasa na tukauleta ukaribu wa ubinadamu
 
Mafeminist wakianza kuongea utumbo wao unaweza kufikiri tangu feminism ishike hatamu kuna mwanamke ambae ashawahi kwenda sayari ya pluto au kuvumbua kifaa cha kurahisisha mawasiliano. Wanachokijua hao wapumbavu ni kuongea jinsi ambavyo hawawezi ku-date na mwanaume asiekua na hela.
 
Back
Top Bottom