Wale kina dada

Wale kina dada

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
64eb4d71f30b11a7a6916865a29bb7c5.jpg
 
waambatanishe na vipimo vya daktari kama ni wazima akili na vvu ndio ombi lishughulikiwe
 
Ha ha ha ha ha.. Kuna siku lilizuka balaa bar moja hivi, nilitoa ofa ya Savana moja kwa binti aliekua akituhudumia, me nilianza mapema Kabla bibie hajafika! Alipofika akaendeleza bia zake! Akanimbia tuhame Chimbo! Nikaitisha Bill, ilipofika tu bibie akaidaka yeye, "Nani kanywa Savanna?" Ndo swali lililokuja! Dah uliwaka moto pale mpaka nikanywea! Yule dada akaja akasema amekosea moto ukamgeukia yeye kwamba analeta Bill za uongo! Doh
 
Ha ha ha ha haaaaa anaitwa SELEMANI SHABANI. Jamaa flani hivi linamidevu!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha ha.. Kuna siku lilizuka balaa bar moja hivi, nilitoa ofa ya Savana moja kwa binti aliekua akituhudumia, me nilianza mapema Kabla bibie hajafika! Alipofika akaendeleza bia zake! Akanimbia tuhame Chimbo! Nikaitisha Bill, ilipofika tu bibie akaidaka yeye, "Nani kanywa Savanna?" Ndo swali lililokuja! Dah uliwaka moto pale mpaka nikanywea! Yule dada akaja akasema amekosea moto ukamgeukia yeye kwamba analeta Bill za uongo! Doh
kwani kutip muuhudumu kuna ubaya? siku usipoenda naye kunywa analalamika. mi nikinywa bila kutip sijisikii raha kabisa.
 
kwani kutip muuhudumu kuna ubaya? siku usipoenda naye kunywa analalamika. mi nikinywa bila kutip sijisikii raha kabisa.
Huyo bibie anawivu sana! Yaani ukimute tu simu bila kupokea Ni balaa! Ukisalimiwa Ni balaa! Hana jema! Yaani Hana Imani hata tone.
 
Mie niliwahi shuhudia moja ile bibie kuinuka tu kwenda toilet alikuja mhudumu kama mshale akachukua chake hazikuzidi sekunde 3 zoezi lishakamilika. kwa kweli jinsi tunavyopukutika na ukimwi ni halali kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom