Wale kina dada

Wale kina dada

Mie niliwahi shuhudia moja ile bibie kuinuka tu kwenda toilet alikuja mhudumu kama mshale akachukua chake hazikuzidi sekunde 3 zoezi lishakamilika. kwa kweli jinsi tunavyopukutika na ukimwi ni halali kabisa.
UKIMWI hautaisha mpaka dawa ipatikane manake umekaa pabaya, hapakwepeki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom