Walalahoi wa Marekani

Walalahoi wa Marekani

Na utaandamwa mpaka utengue kauli yako kuhusu 1st September ukuta

That don't bother me one bit.

Matter of fact, I'm inured to it.

And if anything, I'll do what I do best - aggravate them to the nth degree!
 
Naona unaanza maigizo sasa 44 m how will be?

Ni vigumu kuamini kuwa nchi tajiri kama Marekani inaweza kuwa na masikini milioni 44. Lakini huo ndio ukweli.

Nadhani amepata namba hiyo katika data kama hizi:

According to the 2014 census, 14.5% of Americans, or over 45 million people, live in poverty, up from 11.3% in 2000; a rate not seen since the early '90s.

Chanzo #1.

45 Million Americans Live in Poverty, but You Wouldn’t Know It From Watching 2016 Coverage


Chanzo kingine cha mwaka 2009 kinachoonyesha kulikuwa na walalahoi milioni 39.8 Marekani:

2009, 13.2% (39.8 million) Americans lived in poverty.

Chanzo #2.

Poverty in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia


The official poverty measure is published by the United States Census Bureau and shows that:

Chanzo cha 2014 kinaonyesha tena walalahoi milioni 46.7:

In 2014, there were 46.7 million people in poverty.

This is up from 37.3 million in 2007.

Chanzo hichi pia kinaonyesha walalahoi wengi ni Wamarekani Weusi:

The 2014 poverty rate for Blacks was 26.2 percent, for Hispanics 23.6 percent, for Asians 12 percent and for non-Hispanic whites 10.1 percent.

The poverty rate for children under 18 was 21.1 percent in 2014 and the number of children in poverty was 15.5 million.

19.9 million Americans live in extreme poverty. This means their family’s cash income is less than half of the poverty line, or about $10,000 a year for a family of four. They represented 6.6 percent of all people and 44.6 percent of those in poverty.

Chanzo #3

Hunger in America: 2016 United States Hunger and Poverty Facts - World Hunger


Bado unaona maigizo?
 
Tatizo tunafananisha nchi za kijamaa na kibepari! Ubepari hakuna cha mjomba wala shangazi ukifikisha miaka 18 ni wewe na serikali no one else around you. Ujamaa mtu anamiaka 40 anaishi kwa mjomba au shemeji.
 
4e8c84dd40b92de2c2921303de4a8927.jpg


Karibu idadi ya Watanzania wote!
 
Assets walizonazo hao walala hoi wa huko ni mwananchi wa kipato cha kati kwa Tanzania.
Mlala hoi wa huko ana asset gani? tv,friji? Mlalahoi huko hawezi hata kupata mortgage ya nyumba afadhali bongo unaweza kupata kiwanja ukajenga kwa tofali kumi kumi.
 
ulaya ulaya tu.....ukitaka kuona tofauti lala nje pale stand ya msamvu na ukalale nje huko duniani utaona tofauti
 
Me navyofahamu karibu asilimia 60% huwa ni watu wavivu fulani hivi na 30% watu waliokata tamaa sababu wanachagua kazi wazitakazo tu au wameona hazina manufaa yeyote...na 10% ni ulemavu mkubwa... Ni Dunia Nzima si Marekani tu... na Kama Huamini zunguka piga picha na uulize why wako vile... kisha Njoo unipongeze
 
Ndio naelewa kwa nini kuna watu huko USA, wanamaliza hadi 10yrs, bila kugusa Tanzania, mbaya zaidi hata kuja kuzika wapendwa wanashindwa!
Kunamasuala ya documentation na nauli pia usilaumu sana
 
Ukweli hizo picha mnazopost nizawamarekani wasiotaka kukaa katika kambi maalumu za kutunza watu wasio na ajira na watu maskini!
 
Marekani bado inaoportunities nyingi sana na nchi hii bado inahitaji watu wengi zaidi kuja na kufanyakazi, tatizo kubwa ni usalama! Kabla ya 9/11 mambo yalikuwa rahisi sasa hivi wameweka sheria ngumu sana kupata vibali kuweza kufanyakazi na kuishi!
 
Wewe ni Mzungu?Limeongelewa sualala Poverty mengine yamekujaje?Jibuhoja ya wamarekani 44 milioni ni masikini wakutupwahuku habari zao huonyesha kuwahuko ni mambo mazuri tu!!! Hiyo ndiyo point!

Unapashwa kufuatilia niliyekuwa namjibu alisema hoja gani. Siyo kila mtu anajibu kutoka kwenye main thread. Umeelewa wewe?

BTW, hayo mengine unayona yako nje ya poverty?
 
Back
Top Bottom