Tokyo40
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,065
- 1,926
Asilimia ya Wamarekani wanaoishi katika umasikini, jimbo kwa jimbo.
Chanzo:
100 Million Poor People In America – Facts About Poverty
Akitokea USA BABY kwenye uzi huu nishtueNyani Ngabu njoo huku, nchi unayoitukuza kumbe wala haijatukuka.
Kuwa mzalendo, ipende nchi yako Tanzania
mkuu Tokyo, hivi fukara wa USA ana tofauti yoyote na huyu wa bongo?
Ninavo jua mimi USA wako maskini wa kutupwa wengi tuu na wana zidi kuongezeka
Na US kwa sasa bado uchumi wao hauja kaa vizuri wataongezeka zaidi miaka ijayo
Sawa na mimi nia yangu ni ku ongezea kuwaMasikini wapo na matajiri wa kutisha wapo.
Nia yangu ni kuonyesha kuwa maisha ya Marekani siyo tu yale tunayoiona katika picha za Hollywood. Kuna watu wanaishi vizuri sana na wengine wanaishi kama wapo katika nchi masikini (Third World Country).
Tofauti ipo. Wamarekani wanapata msaada zaidi kutoka serikali yao na jamii.
Karibu kila mji kuna sehemu unaweza kupata mlo mmoja au miwili bure. Makanisa mengi yanatoa msaada wa chakula na kuna vituo vya kuomba kazi.
Makampuni yanatoa misaada ya vyakula na kupeleka katika vituo kadhaa vya kutoa misaada (food bank).
Tatizo lipo kwenye mshahara. Mshahara ni mdogo kwa baadhi ya watu na raia wengi wapo mitaani hawana uwezo wa kulipa kodi ya nyumba na gharama nyingine za maisha.
Hilo wazi kipindi cha wakimbizi huko kagera kuna wazungu walikuwa wanapanga mojawapo ya nyumba yetu sasa kipindi mkataba wao unaisha na wanatakiwa kurudi USA dingi yetu alifurahi sana akijua nyumba yetu itabaki na mazagazaga kibao cha ajabu walibeba kila kitu mpk pasi tulishangaa!!Dingi akajitosa kumuuliza mmojawapo jamaa akajibu kuwa kule kwao si rahisi kununua salami hizi,shit! !!![]()
Assets walizonazo hao walala hoi wa huko ni mwananchi wa kipato cha kati kwa Tanzania.
Kumbe nyani ngabu Ni waaaoooAkitokea USA BABY kwenye uzi huu nishtue
Daaah
USA baby!!!