Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Ukiwa DSM ni palee full dose!!
ukiwa UK downing st!
Ukiwa Musoma Kamunyonge Bazaar!
ukiwa Bukoba nipalee Nyamkazi!!
ukiwa Sydney ni wabi wabi shabel kuna wacongo wengi pale!
ukiwa Mtwara kulee kwa mkuu wa mkoa na Magomeni!
ukiwa Tabora nenda Miyemba evenue!
ukiwa japani Nenda shika myoto estate!
 
Aisee kuna hiko cha msimbazi centre pale dar sio poa hawapunji wanaweka kingi balaa
Ile mijamaa inajua kweli!!!! tena wana lima na michicha ya leo leo kule nyuma ya mabanda yao ya kuka angia kiti moto bana wee!! safi sana! ukishiba sana kuna sehemu safii! unalipia unalala kwa siku unazo taka!!

ila bei yao ndo Matata afadhali ingekuwa poa kidogo! japo parking ni bure! lkn huwezi charge mtu asiye na gari sawa na mwenye gari!.......wakazi wengi wa Mbagala hushukiga hapo!! sijui kwa nini?
 
Jaribu japo siku moja kura kasa
images%20(3).jpg
 
Ile mijamaa inajua kweli!!!! tena wana lima na michicha ya leo leo kule nyuma ya mabanda yao ya kuka angia kiti moto bana wee!! safi sana! ukishiba sana kuna sehemu safii! unalipia unalala kwa siku unazo taka!!

ila bei yao ndo Matata afadhali ingekuwa poa kidogo! japo parking ni bure! lkn huwezi charge mtu asiye na gari sawa na mwenye gari!.......wakazi wengi wa Mbagala hushukiga hapo!! sijui kwa nini?
Saf sana....mkuu io sehem ya kulala unaweza ingia na mchuchu?
 
Ribs - Moshono (Hawa wana nyama safii sana ila expensive. Kuanzia 20,000 kwa piece/pande)

Roshen bar - Karibu na njia panda ya kwenda Kilombero (Kwa kitimoto roast na bei nafuu fika hapa. 1kg kwa 10,000)

TingaTinga - Opposite Golden crest hotel. (Wana style tofauti za upishi hawa jamaa. Mara makange.. mara roast.. mara kavu. 1kg ni 12,000)

Kill time bar - Mianzini kituo cha pili. (Kitimoto choma ya express. Yaani ukiagiza dk 5 mzigo uko mezani na kachumbari ya kutosha. 1kg for 10,000)

Kuna chimbo zingine worth mentioning.

Apache Bar - Sekei bustanini.

Njooy lounge - Sakina Silent inn.

Phillips mataa baada ya yard ya magari, kuna ki setting kidogo cha kuuza pork. Wako vizuri.
Apache bar
 
Back
Top Bottom