Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Wapi nitapata chimbo zuri la kitimoto Arusha?
Ribs - Moshono (Hawa wana nyama safii sana ila expensive. Kuanzia 20,000 kwa piece/pande)


Roshen bar - Karibu na njia panda ya kwenda Kilombero (Kwa kitimoto roast na bei nafuu fika hapa. 1kg kwa 10,000)

TingaTinga - Opposite Golden crest hotel. (Wana style tofauti za upishi hawa jamaa. Mara makange.. mara roast.. mara kavu. 1kg ni 12,000)

Kill time bar - Mianzini kituo cha pili. (Kitimoto choma ya express. Yaani ukiagiza dk 5 mzigo uko mezani na kachumbari ya kutosha. 1kg for 10,000)


Kuna chimbo zingine worth mentioning.

Apache Bar - Sekei bustanini.

Njooy lounge - Sakina Silent inn.

Phillips mataa baada ya yard ya magari, kuna ki setting kidogo cha kuuza pork. Wako vizuri.
 
Kitimoto freshi ni ile anayopika Mama yangu nyumbani kwake, kwa kweli ni hatari. Mtu unakula mpaka unajisahau na kutaka kuonjesha wengine wanaojidangaya kuwa kitimoto ni haram kwao wakati wenzao hatufi kwa kula.
 
Back
Top Bottom