KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Mkuu Shosi,mimi nafikiri kambare ni asili ya chura.Hivi kambare ni Samaki ? Pweza atakuwa nani?
Mkuu Shosi,mimi nafikiri kambare ni asili ya chura.Hivi kambare ni Samaki ? Pweza atakuwa nani?
Uko Mwanza sehemu gani vile?Mi napenda changu na sato
Umbo lipi? la mtwangio au umbo la mwili wote?,utasababisha kambare wapande bei.Na kuna baba angu mmoja aliwahi niambia wanaokula huwa na umbo refu kwa waume sababu samaki wana madini mengi zink{angalieni wanaokula hawa samaki , kambale}
Ndugu nadhani umeshamaliza kila kitu,kwa ufupi biology nadhani wanaijua reproduction pekee,na ukishazungumzia samaki basi wale wa Baharini ndo huwezi kuwala kabisa,maana bomba la maji taka linabeba mpaka vile vya hospitali,ambavyo ukuviandika hapa nadhan watu watasema samaki na wasiliwe maana wachafuNahisi vijana wetu biology inawahusu japo mpitie vitu basic tu. Kiumbe kinapokula kitu utumbo hufyonza vitamin na madini muhimu kukiwezesha kuishi. Na mabaki na sumu hutolewa nje ya mwili. Pia kuna exceptions....Hv mnajua mavi ya dar maeneo fulani yanamwagwa baharini pale mbele ya ikulu. Na wateja kibao wanajaa ferry kunua samaki kila siku.
dormancy=hibernationMkuu maji yanapoanza kupungua na kama hakuna mvua samaki hawa hujifukia kwenye udongo/tope kama chura process inaitwa dormancy wana seaze uhai na hujifufua tena mvua inaporudi. Asa tope ndio huwasaidia hii process
Kumbe mboga nazo zinanuka mavi?Mkuu, unaongelea kambale, na wale walaji wa mboga za majani Dar es Salaam umewafikiria? Unafikiri maji yanayomwagilia mchicha na Chinese cabbage unazopenda sana yanatoka wapi?
Jaribu kuzinusa hizo mboga kwa makini pale mama anapozileta nyumbani utaipata habari yake.
Madame B na mwenzake fulani hivi, hata mayai viza wanakula.Daah yaani kuanzia sasa hamu imeniisha kwako Madame.
Kambare ndio chura maji mwenyewe, si unaona hata vvifaranga vya kambare na chura vinavyofanana.Mkuu Shosi,mimi nafikiri kambare ni asili ya chura.
For sure mkuu, ila dormancy ni broader term, hibernation ni dormancy for mamals....they call it winter big sleep.dormancy=hibernation
Acha ushamba, kambale kwa kawaida huishi kwenye tope. Tena kambale anaweza kuishi kwenye tope gumu kwa muda mrefu akihimili ukameKambale ni samaki mtamu Sana na mwenye minofu yakutosha tuu.. Lakini kwa wapenzi wa kambale hapa bongo poleni kwa kulishwa kambale wanaovuliwa kwenye maji taka ya Mabibo, msasani na kwingineko....![]()
![]()
Nahisi vijana wetu biology inawahusu japo mpitie vitu basic tu. Kiumbe kinapokula kitu utumbo hufyonza vitamin na madini muhimu kukiwezesha kuishi. Na mabaki na sumu hutolewa nje ya mwili. Pia kuna exceptions....Hv mnajua mavi ya dar maeneo fulani yanamwagwa baharini pale mbele ya ikulu. Na wateja kibao wanajaa ferry kunua samaki kila siku.
Hilo halina ubishi Mkuu,hao ni amphibians.Kambare ndio chura maji mwenyewe, si unaona hata vvifaranga vya kambare na chura vinavyofanana.
Wanakula chura.Hilo halina ubishi Mkuu,hao ni amphibians.
Kwa kwenda mbele,lakini siwalaumu,sababu nchi imekwenda kuzimu.Wanakula chura.
Tena Sasa hivi lile bomba la karibu na ikulu limepasuka, kwahiyo kinyesi kinaonekana waziNahisi vijana wetu biology inawahusu japo mpitie vitu basic tu. Kiumbe kinapokula kitu utumbo hufyonza vitamin na madini muhimu kukiwezesha kuishi. Na mabaki na sumu hutolewa nje ya mwili. Pia kuna exceptions....Hv mnajua mavi ya dar maeneo fulani yanamwagwa baharini pale mbele ya ikulu. Na wateja kibao wanajaa ferry kunua samaki kila siku.