Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,519
- 14,248
Wahaya tunaita nshonziNdio mkuu, Mumi hawa ni wadogo zake Kamongo.
Wahaya tunaita nshonziNdio mkuu, Mumi hawa ni wadogo zake Kamongo.
hakuna samaki asiye na magambaWana magamba?
Hamshangai nguruwe anaekula mpaka mavi yake,mnashangaa kambale.
Hatakile kitu kingine kichafu lakini kitamu.Nguruwe na bata ni wachafu sana
Ila
Waaataaaamu
Kwa mujibu wa walaji
Na mtoa mada unajuaga tu vitu flani, kwa kifupi
"Vichafu vitamu"
Hivi huko kanda ya ziwa kambale siyo kamongo? Kambongo wana ile kipande ya mkiani inaitwa lubhee. Hatari sana. Kamongo tamu kusinda nyaaama.
vipi na mademu wachafu ni watamu?Nguruwe na bata ni wachafu sana
Ila
Waaataaaamu
Kwa mujibu wa walaji
Na mtoa mada unajuaga tu vitu flani, kwa kifupi
"Vichafu vitamu"
Hivi kambare ni Samaki ? Pweza atakuwa nani?
Kuna Mzee wangu mmoja hapo mbagala kaletewa hao kamballe wawili, wakubwaaa, wamenonaaa, mzee kasema yes, achemshwe kama mchemsho.... Baada ya kuanza kuchemka tu sufuria ilijaa povu, ikabidi wawamwage... Tuwe makini sana na hii Habari ya kambale wa Dar
Atakula nini mfano maji yamekauka mwaka mzima?Mkuu maji yanapoanza kupungua na kama hakuna mvua samaki hawa hujifukia kwenye udongo/tope kama chura process inaitwa dormancy wana seaze uhai na hujifufua tena mvua inaporudi. Asa tope ndio huwasaidia hii process