Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Yaani kambale umpate na tui bubu la nazi, nyanya chungu, bamia....hoho na karoti afu umkamulie na kandimu kidogo, tafadhali bhana, pembeni sima ya bada.....mchana wako lazima uwe murua.Kambale wa hivyo ndio watamu,achana na wale wanaolishwa virutubisho.
Kambale watamu sana maana unakula mpaka miba na kichwa chake.