Nahisi ndo hao mumi, sura zinafanana! Tuliwavua sana.Hivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
Mkuu kuku pia hula m.a.v.i!Kambale ni samaki mtamu Sana na mwenye minofu yakutosha tuu.. Lakini kwa wapenzi wa kambale hapa bongo poleni kwa kulishwa kambale wanaovuliwa kwenye maji taka ya Mabibo, msasani na kwingineko....
umeongea ukweli sana kiongoziKambale wa hivyo ndio watamu,achana na wale wanaolishwa virutubisho.