Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,630
- 4,691
Cat fish.Hivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
Cat fish.Hivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
Baiolojia inakuhusu mkuu, jaribu kuperuzi kidogo. Kwa baharini ndio simple kabisa. Usije ukamuita nyangumi samaki pia...Hivi kambare ni Samaki ? Pweza atakuwa nani?
Yap , ndio hao. Mumi ni kambale kwa kijaluo.Nahisi ndo hao mumi, sura zinafanana! Tuliwavua sana.
Ndio Mumii hao huku wanaita Kambale.Hivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
Ndio hao hao mkuuHivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
yes!Hivi hawa kambale ndio huku kanda ya ziwa wanaitwa mumi??
You are missing alot, nikama mtu wa bara akikataa kula kamba, kaa, kamba koche, pweza. Kisa eti mamiguu yao yanatia kinyaa!!! HahahaMimi sili kabisaaa hao Samaki ...vyakula vya watu wa bara
Kuku anakula mpaka nyoka, mkamete na umchinje muda huohuo, nyoka hutomuona, na sumu aliyonayo nyoka haitakufhuru.unashangaa kambale wa mtaroni hushangai kuku mla kinyesi na bata mla vilivyooza ?
Nyarukuku nawajua muu, nawajua furu mbabhe nimekulia ziwani aisee.Kamongo, mumi, mbofu, gogogo, nembe, ningu, soga, furu na wengineo nawafahamu sana mkuu. Ila huko kanda ya ziwa baadhi ya watu uwaita hao kamongo kwa jina la kambale. Japo wengine utumia jina la kambale kumaanisha mumi. Je unajua kwamba kuna aina fulani ya furu wanaitwa nyarukuku?
Haaaa Haaaa raha sanaNilichapwa sana na Mzee katika jitihada zake za kuzuia harakati zetu za kuwavua kwenye madimbwi au mito na kuwachoma kwa moto nyuma ya nyumba au chobingo, then tunawala vizuri kabisa.
Ila siwali tena siku hizi!
Asante.Yap , ndio hao. Mumi ni kambale kwa kijaluo.
Aaaah aaaah. Basi hata ebhibhambala na ebhise utakuwa unavijua mkuu.Nyarukuku nawajua muu, nawajua furu mbabhe nimekulia ziwani aisee.