ha ha ha, ile kaka ina barak duniani hadi mbinguni - acha kabisa sheikh!!Kitimoto ni habari nyingine?
ha ha ha, ile kaka ina barak duniani hadi mbinguni - acha kabisa sheikh!!Kitimoto ni habari nyingine?
haelewi huyo, damu ya Yesu ilimaliza kila kitu, kula kitu roho inapenda utapitwa we mama FaizaSasa tafsiri ya NAJISI, ndio Bwana Yesu Kristo, aliyekufa msalabani kwaajili ya dhambi zetu (mimi na wewe) , alikujanayo katika Marko.
Sasa dada yangu, ebu tuwekane sawa hapo kuna sehemu wameandika haramu?“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Sasa dada yangu, ebu tuwekane sawa hapo kuna sehemu wameandika haramu?
Je kwa katika kusoma kwako kote haramu na najisi ni kitu kimoja?
Na kwa uelewa wako NAJISI ni nini?
Tumeambiwa kuna ukimwi na bado watu wanazini itakua kitimoto .... embu tuache kwanza.
haramu jiwe.....Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Ebu isome vizuri na kwa umakini ukiongozwa na ROHO MTAKATIFU, hiyo Marko 7:14-23“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
1. Ukimwi upo na watu wanagegedana dailyTumeambiwa kuna ukimwi na bado watu wanazini itakua kitimoto .... embu tuache kwanza.
Tehehehe ukija Mwezi huu 12, nitafute maeneo yote hayobwana weeee! huyu mdudu..watu wa kaskazini wanaelewa toroka uje!....ha haaa..mara kiboriloni..hujakaa sawa majengo..hujabinua mguu uko soweto mweee
Toka uzaliwe, mpaka umefikia umri wa kuota nywele zote, umekwisha katazwa vingapi na bado ukavifanya, na pengine kwa uthubutu wako wa kuvifanya imepelekea ukafanikiwa? Je navyenyewe ni haramu, au sehemu ya mafanikio hayo ni haramu?Wewe hata maana ya neno haramu huijuwi. Haramu ni kile ulichokatazwa.
Toka uzaliwe, mpaka umefikia umri wa kuota nywele zote, umekwisha katazwa vingapi na bado ukavifanya, na pengine kwa uthubutu wako wa kuvifanya imepelekea ukafanikiwa? Je navyenyewe ni haramu, au sehemu ya mafanikio hayo ni haramu?
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
... bila kusahau ngamia ...Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Kimwingiacho hakimtii mtu unajisi bali Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho mtu unajisi Maana kitokacho hutoka moyoni
Usikiite kitu alichoumba Mungu ni najisi Maana alivyoviumba vyote alivibariki
Kimwingiacho hakimtii mtu unajisi bali Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho mtu unajisi Maana kitokacho hutoka moyoni
Usikiite kitu alichoumba Mungu ni najisi Maana alivyoviumba vyote alivibariki
Katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11 ndipo utaona katazo la vitu vinavyopaswa kuliwa. (Hili ni agano la kale)Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.