Wakuu yamenikuta


pita hivi
 
Wakati mnatongozana ulituhusisha?.
 
Mrejesho: KUTOKANA NA USHAURI NILIOPATA RASMI JANA NIMEACHANA NAE ,DUKA NIMECHUKUA MZIGO NUSU NIMEACHA NUSU FREM ILIBAKI MIEZI MIWILI KODI ,, SITAKI TENAAA NA NIMEKOMA
Mbona kama bado hujakoma ivi? sasa frame na hivyo vitu nusu unamuachia nani acha uzwazwa kijana somba kila kitu hadi nguo ulizo mnunulia acha masihala mkuu
 
He Mwisho utajuta zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejuaje huyo ni baba husika wa huyo mtoto?
 
Kuwa mwanaume si jambo dogo wandugu…

lau kama tungelitumia uanaume wetu tuliopewa basi single mother wangelikuwa bora kuliko hao wasio..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…