Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,676
๐๐๐Ni Kama mill 6-7 duka Fulani la vipodozi
Hii ndio solutionTatizo mnadharau maamuzi ya kikao!! Si mlishaambiwa hadi uone kaburi/tuta???
Asante Sana [emoji24]Pole mkuu
๐คฃ๐คฃ๐คฃChai hii,lakin huenda jamaa kaona unafuu wa kulelewa mke na mtoto wake,so unempunguzia mzigo wa matunzo๐คsaivi ye anajilia firiii๐คฃ๐คฃ๐คฃpoleKuna singo mama mmoja nilikua nae serious kwenye mahusiano baba wa mtoto anasema alimtelekeza nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana kiroho Safi Sasa LEO NADHANI ALISAHAU KUNI "HIDE" WhatsApp status kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede ,ITOSHE KUSEMA NIMEISHIWA NGUVU ,,naombeni mnipe nini Cha kufanya baada ya kupata NGUVU hapo baadae
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nimejikuta nachekaUkome
Vipi kuhusu duka nilomfungulia nimfukuze au?Sana sana humu watu wengi watakushauri ukamfanyizie. Lakini ushauri wangu kwako ni kuachana naye aende kwa amani
Mwanamke ni hatari kuliko nyoka. Pole sana.Ni Kama mill 6-7 duka Fulani la vipodozi
Kabla haujaja kutusimulia huku, yeye umeongea nae? Umemuuliza kwanini kafanya hivo?WHAT A BAD DAY [emoji24][emoji24][emoji24]
Ni Kama mill 6-7 duka Fulani la vipodozi
Mama D kuwa serious kijana anaangamia๐คฃ
Sio chai mkuu Sina sababu ya kudanganya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chai hii,lakin huenda jamaa kaona unafuu wa kulelewa mke na mtoto wake,so unempunguzia mzigo wa matunzo[emoji848]saivi ye anajilia firiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole
Handcap -1Achana naye mara moja ulishawahi ona wapi mechi inaanza mwingine anaongoza moja bila.
Mpaka Sasa sijamtafuta Ila katuma tu msg ya kunisalimia tu sijajibuKabla haujaja kutusimulia huku, yeye umeongea nae? Umemuuliza kwanini kafanya hivo?
Pole sana,we ishi naye bila malengo tu๐usijiwekeze sana kwake,au sitisha kumhudumia kwa muda uone reaction yake๐คSio chai mkuu Sina sababu ya kudanganya
Mi hata unioneshe kaburiTatizo mnadharau maamuzi ya kikao!! Si mlishaambiwa hadi uone kaburi/tuta???