Wakuu yamenikuta

Hapo sasa kunamjadala kweli wakati ushajua mpenzi wako ni mpenzi wa mtu wanawake wengi sana tena wakali kinyama piga chini huyo vuta mwingine akizingua nae huyo mwingine nakupa tena ushauri usije andika humu tena piga chini nae chagua kingine kawe pasono hivi
 

Hopeless man.. mtu kazalishwa, alishakuwa mke wa mtu, wewe kipi kinakuuma, single mother ambaye mume wake bado yuko hai ww unamuweka rohoni au moyoni? Ujue tu hata kama wameachana na wana mtoto au watoto, wewe huna namna ya kuwatenganisha.
 
Sana sana humu watu wengi watakushauri ukamfanyizie. Lakini ushauri wangu kwako ni kuachana naye aende kwa amani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…