Unnamaana nani Sophie Mjema? si naona yupo Temeke sasa...Mrembo wa Upanga aliyekuwa Lushoto katemwa? Naona Lushoto kuna DC mwingine kabisa..........
Naona Hafsa Mtasiwa kateuliwa Pangani, huyu dada si ndio mke wa Dr Mtasiwa aliekuwa mganga mkuu au majina yanafanana? maskini toka oyster bay hadi Pangani kweli kama mtu una dili zako za maana mjini uDC piga chini tu labda kama una political ambition