Wakuu wa wilaya waliotemwa...

Kwa kweli kama kuna cheo ambacho aliyepewa kinaishia kumdhalilisha ni hiki cha ukuu wa wilaya. Ikiwa kwamba huna dili kabisa bongo basi ukuu wa wilaya poa. Lakini kama una dili zako za kuingiza elfu elfu kila siku acahana nao kabisa. Ukiangalia ni kwamba cheo hiki hakina sifa hata moja. Yaani ni mkusanyiko wa watu. Kimsingi unaishia kumpigia magoti Mkurugenzi wa Halmashauri kukujazia mafuta ya gari na mengineyo. Ukileta kiburi kwa Mkurugenzi ndo umekwisha. Utabakia kuakagua miradi ya maendeleo ana kufungua sherehe za pilau tu
Oc milion 2 kwa mwezi au yaweza fika baada ya miezi 4, deni la laki 6 wanalipa baada ya mwaka.
 
1467082863230.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom