Wakuu wa wilaya waliotemwa...

Wakuu wa wilaya waliotemwa...

Walioachwa
Uchambuzi zaidi umebaini kuwa miongoni mwa walioachwa na wilaya zao kwenye mabano ni pamoja na Evans Balama (Mbeya), Zainab Kukwega (Makete), Samwel Kamote (Bukoba), Salum Nyakonji (Ngara) na Othman Mdoe (Mwanga).

Wengine walio...achwa ni Musa Samizi (Moshi), Hawa Mchopa (Ruangwa),Dk Ian Lengibori (Babati), Winfrid Ligubi (Hanang), Frank Uhaula (Kiteto), Geofrey Ngatuni (Musoma Mjini), Esther Wakali (Ileje), Gabriel Kimoro (Mbozi) na Kanali John Mzurikwao (Sumbwanga).

Wengine walioachwa ni Joyce Mgana (Nkansi), Philimon Shelutete (Geita), Zainabu Kondo (Magu), Henry Clemence (Mkuranga), Thomas Ole Sabaya (Songea), Kanali Edmund Mjengwa (Mbinga), Bahati Matala (Kahama) na Grace Mesaki (Iramba).

Pia wamo Florence Horombe (Nzega), Stanley Kolimba (Uyui), Kapteni Seif Mpembenwe (Handeni) na Rashid Ndaile (Mkinga).

Duh huyu kanali Mjengwa wa zamani kweli. Nakumbuka kama alikuwa mbunge wa Mbalali.
 
Kuna mmoja aliwacharaza ndugu zake kwenye ugomvi wa kugombea nyumba ya urithi, kama sijasahau ni kutoka wilaya za mkoa wa Mara

Bado yupo?
plawala anaitwa Henjewele. Amebakishwa Tarime na taarifa za leo zinasema Madiwani wa Halmshauri huko Tarime wamemkataa.
 
Mkuu Kimbunga kwa hali ilivyo hadi kufikia baraza la madiwani kutangaza hadharani kwamba hawamtaki mkuu wa wilaya, basi hiyo ni dalili mbaya sana kwa serikali na ccm. Kwa kuzingatia kwamba halmashauri ya wilaya ya tarime inadhibitiwa na ccm kwakuwa na madiwani wengi lakini wameamua kuweka kando tofauti zao za kisiasa dhidi yake na Chadema na cuf na kutoka na kauli moja ya kumkataa Henjewele.
Nashindwa kuelewa kikwete alikuwa anafikiria nini wakati anaamua kumbakisha Henjewele wilaya ya Tarime.
 
Last edited by a moderator:
nashauri MOD ,watafute utaratibu wa kuweka alama au Rangi kuonesha kuwa Uzi ni wa zamani.
Wengi naona wanajisahau kusoma mwaka wa Uzi na kuzani ni Uzi mpya.
 
Walioachwa
Uchambuzi zaidi umebaini kuwa miongoni mwa walioachwa na wilaya zao kwenye mabano ni pamoja na Evans Balama (Mbeya), Zainab Kukwega (Makete), Samwel Kamote (Bukoba), Salum Nyakonji (Ngara) na Othman Mdoe (Mwanga).

Wengine walio...achwa ni Musa Samizi (Moshi), Hawa Mchopa (Ruangwa),Dk Ian Lengibori (Babati), Winfrid Ligubi (Hanang), Frank Uhaula (Kiteto), Geofrey Ngatuni (Musoma Mjini), Esther Wakali (Ileje), Gabriel Kimoro (Mbozi) na Kanali John Mzurikwao (Sumbwanga).

Wengine walioachwa ni Joyce Mgana (Nkansi), Philimon Shelutete (Geita), Zainabu Kondo (Magu), Henry Clemence (Mkuranga), Thomas Ole Sabaya (Songea), Kanali Edmund Mjengwa (Mbinga), Bahati Matala (Kahama) na Grace Mesaki (Iramba).

Pia wamo Florence Horombe (Nzega), Stanley Kolimba (Uyui), Kapteni Seif Mpembenwe (Handeni) na Rashid Ndaile (Mkinga).
Kahama sio Bahati Matala, alikuwepo Vita Kawawa. Huyo Meja Matala ni Dc aliyeachwa zamani,
 
Manzie Omary mangochie,
Wana geita tutakukumbuka, shukuru kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom