Wakuu wa wilaya waliotemwa...

henry clemence olomi-mkuranga,..babu nuksi huyu kazi ya kugawa oc(ruzuku ya kila mwezi)ni ya katibu tawala(w)lakini anafanya yeye
 
Kwa kweli kama kuna cheo ambacho aliyepewa kinaishia kumdhalilisha ni hiki cha ukuu wa wilaya. Ikiwa kwamba huna dili kabisa bongo basi ukuu wa wilaya poa. Lakini kama una dili zako za kuingiza elfu elfu kila siku acahana nao kabisa. Ukiangalia ni kwamba cheo hiki hakina sifa hata moja. Yaani ni mkusanyiko wa watu. Kimsingi unaishia kumpigia magoti Mkurugenzi wa Halmashauri kukujazia mafuta ya gari na mengineyo. Ukileta kiburi kwa Mkurugenzi ndo umekwisha. Utabakia kuakagua miradi ya maendeleo ana kufungua sherehe za pilau tu
 
Na huyu DC wa Ukerewe Queen Rose Mwashinga sijamsikia; kapigwa chini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom