[QUOTE=Maundumula;3880524]Mikoa 25 kila mkoa atleast wilaya 3 = angalau wakuu wa wilaya 70, Rupurupu + Salary * 75 =
Naomba kuuliza majukumu ya hawa wakuu wa wilaya, na je wanapimwa kila muda gani? na je wasipofanikisha nini kinawafikia? je wakifanya vizuri nini wanapewa?
Kwa kifupi napenda kujua kama hii kazi ina performance related bonuses na kama anayeshindwa anaweza kutolewa![/QUOTE]
Kimsingi hawa ni viongozi wa sehemu husika kichama. Hawana majukumu yoyote zaidi ya kushughulikia mambo ya kichama ie vikao sherehe ufunguzi wa miradi nk. Wakizembea zawadi ni kuhamishwa au kuachwa kuteuliwa kabisa. Ukifanya vizuri hata kama ni kwa kugandamiza demokrasia unaambulia kupandishwa cheo kuwa mkuu wa mkoa nk. Hawa walitakiwa wahudumiwe kichama lakini ndio hivyo tena mishahara yao inatokana na kodi zetu.
Katiba inayoandaliwa iondoe hivi vyeo vinavyokula hela yetu bila kuleta tija kwa wanachi.