mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Ile ya waarabu ilikua bmw X6 mkuu.Hii siyo ile ya wsle waarabu mange aliwekaga mtandaoni au tunaruhusuiwa kubadili plateno.
Ile ya waarabu ilikua bmw X6 mkuu.Hii siyo ile ya wsle waarabu mange aliwekaga mtandaoni au tunaruhusuiwa kubadili plateno.
Karimjee ni brand kubwa sana, wako vizuri sana Uingereza lakini si kwa jina hili wanaitwa Whistlestop wana mimi supermarkets kwenye station kubwa za train.Saivi serikali inanunua magari yenyewe moja kwa moja kiwandani, imeachana na madalali wakina karemjee waliokua wakiinunulia serikali magari kwa bei ghali utafikiri viwanda vya magari vipo sayari nyingine.
Ni naibu raisHujui bashite ni mkuu wa wakuu wa mikoa hapa Tanzania?
Kwa hiyo madawati, walimu, maji, madaktari, manesi, maabara ya hospitalini na vifaa vya kufundishia ni ziada na anasa siyo? Muhimu BMW? Kama Mungu yupo atawaona ila nina wasi wasi na huyu Mungu wetu kwa hawa watu. Hawa wana mungu wao wa utajirisho na uuaji plus upotezwaji wa watu.
Ukiachana na VX hawaruhusiwi kutumia magari mengine?
halafu hayo maBMW hata kwenye ofisi za mikoa yapo.?
Nawaza tu.