REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,896
Sio kwa huyu asiejaribiwa, nenda showrooms zao mikoani Toyota Tanzania ndio utapata jibu, saivi zile showrooms zilizokua zinajaza v8s na Cruiser zimepaki bajaj na toyo, pia kwenye madawa ya hospitali kafanya hivyo hivyo, kulikua na watu wananunulia MSD dawa lakini saivi MSD wananunua wenyewe viwandani.Mbona nilisikiaga hao watu hawagusiki.!