kabatimpya
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 231
- 216
RugeMsiba? Mbona unanitisha? Msiba wa nani?
Animal Farm: All animals are equal, but some are more equal than others.
Ndio wachawi wenyewe hawaKwahiyo wewe umeona benzi nyeusi?
Acha kupotosha watu wewe, yale ni magari ya kichina aina ya FotonNaona siku hizi police mpk wana Bmw X5,si mchezo.
Hapana... Mimi sio msanii wala CCMRuge
I hate this guy. May God forgive me.
He is the supreme chairman of all regional and district commisioners including directors, heads of departments, ministers, judges and members of parliament. He even holds sway of the military. Don't mess with Bashite.Hujui bashite ni mkuu wa wakuu wa mikoa hapa Tanzania?
DahHe is the supreme chairman of all regional and district commisioners including directors, heads of departments, ministers, judges and members of parliament. He even holds sway of the military. Don't mess with Bashite.
Kama ni lake binafsiKila kukicha anafanya mambo ya kifahari halafu anasema anawatumikia wanyonge.Siyo ajabu hata serikali haijui hilo gari limetoka wapi maana katika tenda huwezi nunua gari kama hilo
Hearsay is inadmissible!Mbona nilisikiaga hao watu hawagusiki.!
Umesoma plate number?
Hii siyo ile ya wsle waarabu mange aliwekaga mtandaoni au tunaruhusuiwa kubadili plateno.Kitu bmw 7 series cc 4000 hio.
Kuleni maisha wazee.
Ungesoma ungejua imefanyeje!