Wakuu wa Mikoa wamepewa magari mapya?

Wakuu wa Mikoa wamepewa magari mapya?

Kwani viongozi si wanatembeaga na plate number zao, so any gari akiweka plate number inakuwa gari oficial ya kiongozi husika.

Mbona huku kwetu wanaazimaga sana gari na kuweka plate number zao then life lina go on
 
Kwenu ni wapi mkuu?
 
Saivi serikali inanunua magari yenyewe moja kwa moja kiwandani, imeachana na madalali wakina karemjee waliokua wakiinunulia serikali magari kwa bei ghali utafikiri viwanda vya magari vipo sayari nyingine.

Hicho kitu hakiwezekanikwenye mfumo wa usambazaji wa magari. Hata ununue moja kwa moja Karimjee commissionyake iko pale pale. Wana mikataba migumu sana ambayo ni territorial. Kuna kipindi walitake kuleta utaratibuhuo lakini haukutekelezekakwa sababu nilizotaja. Hilo pia liko kwenye sukari na vituvingine.
 
Hatimae amini nakuambia limewezekana sababu huo ndio utaratibu unaotumika kwa sasa na serikali. Procurement inafanyika na temesa kwa direct sourcing scheme, halafu hiyo territorial trademark dealer ni kwa retail business order, yaani ni kama nae serikali anaenda kuuza kwa mwingine.
 
Kwani viongozi si wanatembeaga na plate number zao, so any gari akiweka plate number inakuwa gari oficial ya kiongozi husika.

Mbona huku kwetu wanaazimaga sana gari na kuweka plate number zao then life lina go on
Hiyo ni kwa magari ya serikali tu sio gari ni gari.
 
Kila kukicha anafanya mambo ya kifahari halafu anasema anawatumikia wanyonge.Siyo ajabu hata serikali haijui hilo gari limetoka wapi maana katika tenda huwezi nunua gari kama hilo
 
Raha ya gari hata likiwa Vitz Liwe la kwako mwenyewe halafu unaweza paki bar yeyote hata Kimboka au Mapambano au hata Rose garden
 
Back
Top Bottom