Wakuu wa Mikoa waache kujichonganisha na Wanamichezo kwa Unazi wao

Wakuu wa Mikoa waache kujichonganisha na Wanamichezo kwa Unazi wao

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,163
Reaction score
22,739
Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tabora atapata wakati mgumu sana. Namwonya asijaribu kabisa kujiweka karibu na Simba
 
Huyu muda wake unahesabika.... Wacha tumpige zengwe mpaka arudi huko mara kuiba ng'ombe mpuuzi mkubwa.
Ccm sijui inatoa wapi viongozi mazuzu kama hawa!!, Yaani jitu ndio lihusuka likuu la mkoa linatoka mbele ya media kulialia kuhusu rushwa huku likiwa na TAKUKURU!!?, Kama ana nyenzo anashindwa kuzitumia!! Anaweza kubuni mradi kwaajiri ya maendeleo ya mkoa?. Takataka kabisa
 
Mimi nimefurahi tu kuona amejibiwa kulingana na maneno yake aliyoyatoa hapo kabla. Siku nyingine naamini ataweka mipaka kati ya ushabiki wa timu na hicho cheo chake.
 
Acheni Ushamba,Yule Chura mwenzenu wa Mwanza ni Yanga na anaibangaza Simba vibaya ila sikuona bandiko humu

Tulizeni vitoa Takamwili vyenu hapa.
 
Huyo ni Kolo,maana anadai kwa Tz anaiheshimu sana Simba kwa kauli hiyo tu hawezi kuheshimika maana nchi yetu imetawaliwa na dini mbili Yanga na Simba,hata awe professor ukimkuta anabisha issues za hizi imani mbili hana tofauti na mzee Mpili au Mzee Said
 
👿👿👿
 
👿👿👿
Na hizo timu ukijifanya mjuaji sana anaweza kukosa kazi akarudi mara kuchunga mbuzi.....maana maboss zake wanamchora tu,usidhani kibri cha Ally Kamwe kumjibu kwa kejeri hadharani anafanya kwa kukosea,anajua hawezi kumfanya chochote
 
Utopolo na tabia ya kupanga matokeo na vitendo vya rushwa ni lazima waonywe
FB_IMG_1743578318957.jpg
 
Back
Top Bottom