Wakuu wa ladbrokes mpoo. .

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
Hehehe pale ndani ya new africa casino! Branch ya ladbrokes nawasalimu wale mangulii wakuhudhuria pale. .
 
Sports betting and gambling miniacs ha..ha..ha lazima watakuwepo humu wale waliojiajiri na wale only for fun.
 
mkuuu zetu ni premier bettng lodbrokes kwa 50K si ndogo mkuu bora premier betting inaanzia 500 kwa uswahilini kwetu..
 
hivi pia kwenda kushangaa vile vilasi vilivyoning'inia pale kaunta.....niseme....jana na leo....?
 
Mimi toka wale 500 yangu ya kamari ya vibiskuti pale urafiki mwaka 1998 sina hamu na kamari tena.
 
Hehehe hii kitu ni sooo
Ina siku na siku
Kuna siku nimeenda na elfu 12 nikacheza roullete nikatoka na laki 8
..'Kuna siku laki 2 ililiwa kwa draw ya arsenal na mancty
 
Back
Top Bottom