Mafanikio ya kupeleka timu 4 CAF serikali ipongezwe

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,027
Salaamu wakuu

Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani

Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania

Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au serikali???
 
Mjomba umeadimika sana kundini. Sijui umepata uteuzi!!! Makolo wamekosa mtu wa kuwakera. Siku hizi wanajiachia tu kwa raha zao.
 
Unafinywa na mmakonde
 
Attachments

  • IMG-20261006-WA0024.jpg
    IMG-20261006-WA0024.jpg
    53.6 KB · Views: 2
Salaamu wakuu

Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani

Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania

Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au serikali???
Serikali ipongezwe? Ipongezwe serikali gani ? Hii haramu? Acha kututia hasira ujue!
 
Back
Top Bottom