Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.

1765007843575.png
 
Tunaipata kwa kutumia charamina
 
Back
Top Bottom