ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,704
- 127,611
The clock is ticking mkuu😅Na wale wa 90’s unawashauri vipi mkuu? 😁
The clock is ticking mkuu😅Na wale wa 90’s unawashauri vipi mkuu? 😁
Take it or leave it man!!Acha kurekisha maisha it meant to be
Majuto ni dhana ya kipumbavu
Kujaribu kuelewa ni ujinga
Correct. ingawa muhimu ni kwaajili yako zaidi cuz vijana wengi wasasa kuendeleza mali hawawezi.Wekeza sasa ukiwa huna majukumu starehe zipo,
Mali zako ndio uzao wako utakao lea uzao wako
😁😁😁The clock is ticking mkuu😅
Who ever.. don care da shitTale it or leave it man!!
Kwahiyo sisi wa 90+ vipi? Tuendelee kuzichakata mbususu Bado mda tunao?Kula bata sana, jirushe sana, furahia ujana wako sana.
Usisahau kuwekeza kwa ajili ya 60+, sisi wazee tunaona jinsi hali ilivyo, watoto tuliozaa hawajawahi kutusaidia maana nao life linawapiga daily.
Nyie mliozalowa 70+ na 80+ jiandaeni, uze sio mchezo! Usije kuishia kutoa laana kwa watoto.
Fvck offFanya research mtaani kwako utaona ERoni ana_hoja
Nimeachana na added sugar,yaani sinywi chai,soda wala sili vitumbua,andazi nk,miezi miwili sasa,shida ya kukosa usingizi imeisha, nalala usingizi mzito balaaMaisha ni life style
Hakuna aliye laumiwa Mkuu ni issue ya kuzungumzia future tu. Usije ukateseka/kuwatesa watu wengine hapo baadae.Acha upumbavu wa kulaumu watu
Maisha ya watu wanaokufa hayana maana.. Note
Kuona unatimiza jambo kwa wafu watarajiwa ni kujipa umuhimu usioustahili
Bibi yangu ana 90+,kwa miaka 20+ iliyopita nimekua nikimtazama akisubiri tu mauti,akikaà peke yake huomba Mungu amchukue maana kachoka na wenzake wote hawapoNa wale wa 90’s unawashauri vipi mkuu? 😁
Nimeachana na added sugar,yaani sinywi chai,soda wala sili vitumbua,andazi nk,miezi miwili sasa,shida ya kukosa usingizi imeisha, nalala usingizi mzito balaa
Yaani naacha ulaji ovyo maana miaka kumi ijayo nitakua naitafuta 60,sitaki zahma za uzee,nife bila maumivu
Of course(life style yako) namna unavyo ishi ndivyo itakavyo kuamulia uzee wako.
Good very good umejitambua mapema.Nimeachana na added sugar,yaani sinywi chai,soda wala sili vitumbua,andazi nk,miezi miwili sasa,shida ya kukosa usingizi imeisha, nalala usingizi mzito balaa
Yaani naacha ulaji ovyo maana miaka kumi ijayo nitakua naitafuta 60,sitaki zahma za uzee,nife bila maumivu
Dogo acha usumbufuHakuna aliye laumiwa Mkuu ni issue ya kuzungumzia future tu. Usije ukateseka/kuwatesa watu wengine hapo baadae.
Nitakua naichungulia 60Kwamba wewe miaka 10 ijayo utakuwa 60yrs?
Kingine ikiwezekana milo miwili ya nguvu kwa siku inatosha kabisa.
Niko mbali,maisha ukiyafikiria sana wala hayana maanaAisee uwe unampa kampani ukiwa free Mkuu.