Wakuu tupeni pole jamani

Poleni sana na tunashukuru Mungu mmeokoka
 
ninadhani kwa watu wa gongolamboto na maeneo jirani Ijumaa ya leo kwa waislam, jumamosi ya kesho kwa wasabato na jumapili ya kesho kutwa kwa waabudio jumapili mahudhurio yao misikitini na makanisani yatakuwa mazuri mno!!!
 
mkuu kwa furaha nikichinja itabidi wana jf wote nile nao ck hyo bila hivyo ckubali

Ukichinja uchague aliyenona maana hiyo itakuwa ni sadaka. Pole sana ndio hivyo maana majibu yao nimeyasikia hii leo ni ya mzaha mzaha tu politiki hadi JWTZ.
 
Pole sana mpendwa na majirani zako. Mungu ni mwema azidi kuwatia nguvu. Najua adha ya vita/milipuko na displacement. Glory to GOD mu wazima
 
Pole sana mpendwa na majirani zako. Mungu ni mwema azidi kuwatia nguvu. Najua adha ya vita/milipuko na displacement. Glory to GOD mu wazima

thanks binamu fikiria hii aikuwa vita ni uzembe wa watunza ghala la silaha sizani kama kunalingine hapo
 
Ukichinja uchague aliyenona maana hiyo itakuwa ni sadaka. Pole sana ndio hivyo maana majibu yao nimeyasikia hii leo ni ya mzaha mzaha tu politiki hadi JWTZ.

kweli kabisa itabidi awe ngombe mana jf tupo wengi
 
tz gud 2 b back,,,!!Pole sana Dr kwa yaliyokukuta,,Giv my love 2 ur family.
 
ninadhani kwa watu wa gongolamboto na maeneo jirani Ijumaa ya leo kwa waislam, jumamosi ya kesho kwa wasabato na jumapili ya kesho kutwa kwa waabudio jumapili mahudhurio yao misikitini na makanisani yatakuwa mazuri mno!!!

no comment mkuu
 
pole mkuu kwa yote yaliyokuta! iliyobaki ni kumshukuru Mungu kwa kukunusuru na janga hilo kubwa
 
thanks binamu nikiangalia majirani walobomolewa nyumba na 1 kufa wakati mabomu yalipita juu ya nyumba yangu salama namshukuru mungu sana

Mungu ni mwema apewe sifa. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…