Wakuu tupeni pole jamani

Kweli umepata wakati mgumu. Pole Mkuu na Mungu akupe amani kipindi hiki cha misukosuko.

thanks binamu
kweli haya uyasikie tu watu wakisimuliwa japo nimezungukwa na wakurya nikisimulia vituko walivyofanya mbavu zitapasuka
 
Pole sana. Mshukuru Mungu aliyekuepushia madhara. Yaani jinsi ulivyosimulia ikawa kama naangalia cinema ya kivita.
 
Pole sana. Mshukuru Mungu aliyekuepushia madhara. Yaani jinsi ulivyosimulia ikawa kama naangalia cinema ya kivita.

thanks mkuu
yani we acha tu nilitamani sana niwe na video camera yani ningetengeneza muvi kali sana
 
Pole sana mkuu.
 
Pole sana dr. Tunashukuru umzima na familia yako. Al the best be blessed.
 
poleni sana maana hayo madubwana yakikukosa shukuru sana maaana unaweza usionekane kabisa,poleni mungu ataendelea kuwapa uzima
 
poleni sana maana hayo madubwana yakikukosa shukuru sana maaana unaweza usionekane kabisa,poleni mungu ataendelea kuwapa uzima

thanks mkuu yani we acha tu ukikutana nalo utazimia hyo spedi yake kishindo chake
 
Pole sana mkuu, mapenzi yako kwa familia yako yameirudisha tena kwako.
 
poleni sana Drphone kama umenusurika na familia, hayo ni mapenzi ya Mungu na ndiyo wa kumshukuru

Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu na Mungu atatufusha
 
Pole sana drphone, tunamshukuru Mungu kwa kuwaweka salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…