Wakuu,Rais wetu waliopita walikuwa hawana watoto au marafiki?

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
2,128
Points
1,225

tz1

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
2,128 1,225
Rais Mtahaahafu Nyerere ana watoto na marafiki,
Rais Mtahaahafu Mwinyi ana watoto na marafiki,
Rais Mtaahafu Mkapa ana watoto na marafiki.

Wote walikuwa ma rais wetu,walikuwa na marafiki wengi duniani, Wote walikuwa na wanatafuta marafiki
wa kujenga nchi yetu.

Je JK mbona yuko tofauti?yeye ni kizazi gani asiye na huruma na watu wake?
Je ni kiziwi?
Je au ni mbinafsi?

Nazidi kuchanginikiwa kila siku, na sasa anauza Mahakama kuu yetu Tanzania ili rafiki zake wapate nafasi ya ku park magari yao
ya kifahari Kilimanjaro hoteli.

Kuna mtu hapa Jf ana sema miafrika ndo livyo.Ana ongea ukweli.

Tunasubiri niniiiiiiiiiiiii?
,.
 

Mkirua

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
5,659
Points
1,225

Mkirua

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
5,659 1,225
Rais Mtahaahafu Nyerere ana watoto na marafiki,
Rais Mtahaahafu Mwinyi ana watoto na marafiki,
Rais Mtaahafu Mkapa ana watoto na marafiki
,.
Kichwa cha habari na habari haviendani, pia maudhui ya habari yenyewe utata mtupu, hueleweki unataka kusema nini. Kwani ulikuwa na haraka gani usitulie na kuhariri kazi yako kabla ya kupost? Hebu ona kwenye hizo red..... Kijana!!!!! Hauko serious!!
 

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,416
Points
0

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,416 0
<span style="font-family: comic sans ms">Kichwa cha habari na habari haviendani, pia maudhui ya habari yenyewe utata mtupu, hueleweki unataka kusema nini. Kwani ulikuwa na haraka gani usitulie na kuhariri kazi yako kabla ya kupost?</span> <span style="font-family: comic sans ms">Hebu ona kwenye hizo red..... Kijana!!!!! Hauko serious!!</span>
<br />
<br />
We umesahau ule usemi ukimlenga mbaya wako ngumi ya pua hata ikimpata ya kifua ujue ataumia. Kwa hiyo hayo maneno hata ikiwa amekosea ujumbe mnaujua na umewafikia
 

Forum statistics

Threads 1,380,880
Members 525,903
Posts 33,783,047
Top