Wakuu njooni UN tupo wengi sana

Wakuu njooni UN tupo wengi sana

Hapa akili za kuambiwa changanya na zako🤣🤣🤣.
 
Amani itawale. Msilete fujo yeyote. Waambieni yueni wawaletee Samia mumuhoji
 
Tupo wengi sana ofisi za UN Leo lazima kiwake yaani litakufa jituuu
Ndiyo maana mitandao hufungwa. Wajunga wenzako wakiona haya wanaweza kusogea na kuwasababishia madhara. UN gani uliyopo mbona magari ya jeshi tu ndiyo yamejaa. Ndiyo mlivowajaza 29 October na kusababisha wauwawe.
 
Acha uongo.huko Kuna magari ya kijeshi tu yametapakaa kila Kona.
Ndio tunayataka, maana lazima tuandamane hata kesho. Hivyo lockdown kesho iko pia. Hakikisheni mnatoa tangazo kabisa kwa wananchi.
 
Ndiyo maana mitandao hufungwa. Wajunga wenzako wakiona haya wanaweza kusogea na kuwasababishia madhara. UN gani uliyopo mbona magari ya jeshi tu ndiyo yamejaa. Ndiyo mlivowajaza 29 October na kusababisha wauwawe.
Mpuuzi huyo yeye yuko kwenye keyboard anachochea wenzake wakafe!!
 
Back
Top Bottom