Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Hiki kinafaa kulindia kura?
Wewe kama mimi nimewaza hilo buti kama lajeje mguuni si unachoka kabisaDuh nimehisi ni mzigo mzito miguuni ila kipendacho roho hula nyama mbichi.
Sisi ni watengenezaji wa viatu na bidhaa nyingine za ngozi. Tupo Toangoma DSM. Tunaweza kukutengenezea , hebu chungulieni kazi zetu kwenye uzi wetu usemao "PATA VIATU NA BIDHAA ZA NGOZI"View attachment 1611363View attachment 1611364View attachment 1611365
Nipeni chaka la hiyo boot nipendeze, smart brainy lazima niwe na smart boot
nipe link kakaSisi ni watengenezaji wa viatu na bidhaa nyingine za ngozi. Tupo Toangoma DSM. Tunaweza kukutengenezea , hebu chungulieni kazi zetu kwenye uzi wetu usemao "PATA VIATU NA BIDHAA ZA NGOZI"
haaa haaa nikivaa hii siwezi tembeaHaya hutokea pale unapokuwa Mtumishi wa Serikali na hapo hapo Lijihuni kwahiyo unataka ku-balance!!
Acheni uhuni nyie watu, viatu vyenu vinatakiwa kuwa kama hivi hapa chini:-
unateseka?Mnamuapishia nyuma ya keyboard sio?
Hata mimi nimeshangaa sana alivyokiita kiatu matata nikaja mbio mbio nikiangalie kipoje nakutana na likiatu ambalo nilivaa mwaka 1995 nikiwa shule ya msingi kweli nimeamini kipenda roho.Duh nimehisi ni mzigo mzito miguuni ila kipendacho roho hula nyama mbichi.
Woiso Original Products wana viatu vya kijanja vya ngozi. Wapo barabara ya salasala, pia wana duka kariakoo mtaa wa kipata.View attachment 1611363View attachment 1611364View attachment 1611365
Nipeni chaka la hiyo boot nipendeze, smart brainy lazima niwe na smart boot
niachie contacts tafadhaliWoiso Original Products wana viatu vya kijanja vya ngozi. Wapo barabara ya salasala, pia wana duka kariakoo mtaa wa kipata.
safi0783583922
www.woisoproducts.com
safi0783583922
www.woisoproducts.com
Kila la kheri. Ukipata usitunyime pichasafi
Ukipata na mimi nijulishe...View attachment 1611363View attachment 1611364View attachment 1611365
Nipeni chaka la hiyo boot nipendeze, smart brainy lazima niwe na smart boot
Ata Arusha wapo! Kiatu kipya kabisa 60,000/=.Woiso Original Products wana viatu vya kijanja vya ngozi. Wapo barabara ya salasala, pia wana duka kariakoo mtaa wa kipata.
wana bei nzuri. hizo picha hapo juu vikitoka nje bila 140,000 hujanunuaAta Arusha wapo! Kiatu kipya kabisa 60,000/=.
Best quality halafu ni pure ngozi.
Yaani naweza kuvaa hivyo wakati duniani hamna kiatu kingine cha aina yoyote zaidi ya hivyo na ndala!!!haaa haaa nikivaa hii siwezi tembea