Wakuu, nisaidieni jibu sahihi ni lipi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,453
40,446
Nipo hapa mtaa wa jirani na rafiki yangu mmoja tunapata kahawa ili kuondoa baridi iliyopo. Katika mazungumzo yetu, akatokea rafiki mmoja akaja akatuuliza swali, ''wakuu, elimu ni cheti au ni ujuzi?''. Mi nikwamwambia itakuwa ni cheti kwa sababu kinaonyesha elimu uliyonayo. Wote wakanipinga, wakasema elimu ni ujuzi ndio itakayokutambulisha elimu uliyonanyo. Mpaka hapa tulipo, hatujafikia muafaka. Wakuu, nisaidieni jibu sahihi ni lipi?
 
Back
Top Bottom