Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi

Wivu wa mapenzi ni dalili ya mtu mpenda umbea, muongo, suspicious na mtu anayedanganyika na conspiracy theories.

Kwa sisi tunaopenda empirical evidence tunataka kutoa hukumu kwa facts. Mpenzi wangu anacheat kwa sababu 1, 2, 3 zinazoonekana. Sio useme tu nahisi alikuwa anaongea na mwanaume mwingine.

Babu yangu alinambia hivi, ukiona dalili mbaya usiitumie kama hukumu bali itumie kama fursa ya kutafuta evidence ya kutoa hukumu.

Pia ondoa mawazo ya kuwa cheated maana wengi wao wako hivihivi. Kama unabisha chukua simu yake kaa nayo masaa sita uone. Wewe focus kwenye mahusiano yetu na fanya assumptions kuwa hakusaliti ila ana uwezo huo.

Mawasiliano yakiwepo, heshima, upendo, kuthaminiana unakuwa less risk kupata stress. Unataka upate vyote na hupati, mapenzi hayana furaha 100% hata wale wenye furaha bado wana hofu kubwa sana ya WHAT IF NIKAACHWA?
 
Kuna mida unaweza iofia mpenzi wako akiwa busy. Mida ya saa nne usiku na kuendelea.

Mida ya asbuhi saana kabla ya saa moja. Tofauti na hapo mtu akiwa busy usitie shaka.yawezekana anaongea na ndugu zake, au mambo ya kazini. Hii ni kawaida sana.

Kwanza utambuwe kazi yake ni kupigiwa sana simu kiasi hicho?
Lakini kumuuliza mpz wako alikuwa anaongea na nani ni kawaida sana wewe muulize.kama kuna anachoficha atajikanyaga kutoa jibu.

Nb.kama mtu anakupenda na kukuheshimu lazima akupe priority. Mm napiga simu/ kupigiwa simu saana sana kwa siku naweza pigiwa /kuwapigia hata watu 30 kwa siku lakini kuna simu nikiona zinapiga lazima nikate simu kuzipokea. Na simu nyingi napokea loudspeaker.coz nyingi ni za kazi.

Fanya utafiti siku moja shinda nae uone anapigiwa na watu wa namna gani.
 
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu

Ni mpenzi wangu, nipo nae mwaka wa 4 sasa

Nipo chini ya miguu yenu naombeni ushauri wa haraka sana.
Haya ni mahusiano yako ya ngapi??
 
FIKIRIA NI KITU GANI CHA MAANA ZAIDI KATIKA MAISHA YAKO MBALI NA HUYO MWANAMKE. WENZAKO WENGINE HAWATAKI HATA KUSIKIA SIMU WALA SMS ZIKIINGIA MARA KWA MARA, WHY? WANA MAMBO MENGINE YA MAANA ZAIDI YA MAPENZI. THINK OUTSIDE THE BOX IN YOUR OWN WAY, WHICH IS VERY IMPORTANT FOR YOU TO FOCUS IN LIFE APART FROM THAT MAMA......................MAPENZI SIO UPOFU ILA NI UJINGA TU
 
Cheat
 
Unafikiria ujinga pengine ww mwenyewe unafanya ndio maana unamfikiria mwenzako hivyo ,kama weye unataka kufanya jambo lako lolote ikiwa zuri au baya na hawezi kukuzuiya basi na yy vile vile huwezi kumzuiya kama kakusudia kukuchit atakuchiti tu usujione una right ya kumchiti yy hana kwanza stop weye .Wanawake ni kama bahari huwezi kuilinda.
asante mkuu nimekuelewa
 
Wivu wa mapenzi ni dalili ya mtu mpenda umbea, muongo, suspicious na mtu anayedanganyika na conspiracy theories.

Kwa sisi tunaopenda empirical evidence tunataka kutoa hukumu kwa facts. Mpenzi wangu anacheat kwa sababu 1, 2, 3 zinazoonekana. Sio useme tu nahisi alikuwa anaongea na mwanaume mwingine.

Babu yangu alinambia hivi, ukiona dalili mbaya usiitumie kama hukumu bali itumie kama fursa ya kutafuta evidence ya kutoa hukumu.

Pia ondoa mawazo ya kuwa cheated maana wengi wao wako hivihivi. Kama unabisha chukua simu yake kaa nayo masaa sita uone. Wewe focus kwenye mahusiano yetu na fanya assumptions kuwa hakusaliti ila ana uwezo huo.

Mawasiliano yakiwepo, heshima, upendo, kuthaminiana unakuwa less risk kupata stress. Unataka upate vyote na hupati, mapenzi hayana furaha 100% hata wale wenye furaha bado wana hofu kubwa sana ya WHAT IF NIKAACHWA?
asante sana kwa mawazo yako mkuu
 
Kuna mida unaweza iofia mpenzi wako akiwa busy. Mida ya saa nne usiku na kuendelea.

Mida ya asbuhi saana kabla ya saa moja. Tofauti na hapo mtu akiwa busy usitie shaka.yawezekana anaongea na ndugu zake, au mambo ya kazini. Hii ni kawaida sana.

Kwanza utambuwe kazi yake ni kupigiwa sana simu kiasi hicho?
Lakini kumuuliza mpz wako alikuwa anaongea na nani ni kawaida sana wewe muulize.kama kuna anachoficha atajikanyaga kutoa jibu.

Nb.kama mtu anakupenda na kukuheshimu lazima akupe priority. Mm napiga simu/ kupigiwa simu saana sana kwa siku naweza pigiwa /kuwapigia hata watu 30 kwa siku lakini kuna simu nikiona zinapiga lazima nikate simu kuzipokea. Na simu nyingi napokea loudspeaker.coz nyingi ni za kazi.

Fanya utafiti siku moja shinda nae uone anapigiwa na watu wa namna gani.
shukrani mkuu, maana leo nimempigia simu saa 12 na nusu asubuhi nikakuta inatumika, nikajaa uchungu sana aisee
 
FIKIRIA NI KITU GANI CHA MAANA ZAIDI KATIKA MAISHA YAKO MBALI NA HUYO MWANAMKE. WENZAKO WENGINE HAWATAKI HATA KUSIKIA SIMU WALA SMS ZIKIINGIA MARA KWA MARA, WHY? WANA MAMBO MENGINE YA MAANA ZAIDI YA MAPENZI. THINK OUTSIDE THE BOX IN YOUR OWN WAY, WHICH IS VERY IMPORTANT FOR YOU TO FOCUS IN LIFE APART FROM THAT MAMA......................MAPENZI SIO UPOFU ILA NI UJINGA TU
asante sana kwa ushauri wako
 
Aah aaah umepiga simu haijapokelewa.. unawaza... Kuna bishoo kakamatia buno huko simu inaangaliwa inaachwa analilia dick tu...... Inakuumiza saana
 
Jitahidi kupunguza wivu ina maana hiyo Simu anatakiwa kuwasiliana na wewe tu haruhusiwi kuwasiliana na watu wengine?
 
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu.

Ni mpenzi wangu, nipo nae mwaka wa 4 sasa.

Nipo chini ya miguu yenu naombeni ushauri wa haraka sana.
Bado unajifunza kupenda!!!
 
Tafuta maisha mpaka ufikie stage uone future na furaha yako ni muhimu sana kuliko kitu chochote...

At least uwe na uwezo wa kuwa na furaha peke yako hata bila mpenzi wako.

Jua kabisa hauna kinga yeyote dhidi ya usaliti unaweza kusalitiwa mda wowote na siku yeyote na sio wewe peke yako hata natajiri wanasalitiwa hivyo kubali kuna risks zipo ukiwa kwenye mahusiano na moja wapo ni kusalitiwa.

Kama upo Dar nenda Posta pale kaa sehemu angalia jinsi wanawake waZuri walivyo wengi na wanavutia halafu jipe moyo km akikusaliti huyo basi utapata nafasi ya kupata mzuri zaidi na bora zaidi.

Hakikisha unajua direction ya maisha yako hata ikitokea umesalitiwa basi ujisemee nitatumia mda mwingi ku focus na maisha yangu na hobbies zangu...

Usikose hobbies,Hobbies ni muhimu sana sana sana.
 
Back
Top Bottom